tag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post1394589449112739862..comments2023-09-15T15:51:27.184+02:00Comments on The CEO Culinary Artist Tanzanian Executive chef Issa Kapande: WEWE NI MPENZI WA CHOCOLATE NA MCHANGANYIKO WA KARANGA?Issa Kesuhttp://www.blogger.com/profile/01773568103425650542noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-13177696985127169342011-07-25T18:05:51.402+02:002011-07-25T18:05:51.402+02:00my bro ningefurahi zaid kama hayo mapicha ungekuwa...my bro ningefurahi zaid kama hayo mapicha ungekuwa unatuwekea na maelezo maana ukitwambia tukae mkao wa kula tunakuwa tunachelewa si unajua ramadan ipo karibu na watu tunataka tupike mahanjumati ili watoto wapende kufunga kwa kupata misosi minono.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-11206208019681274582011-07-19T04:49:18.089+02:002011-07-19T04:49:18.089+02:00Na mimi nauliza hivyo vyeupe hapo juu kwenye picha...Na mimi nauliza hivyo vyeupe hapo juu kwenye picha ya kwanza ni nini? <br /><br />Na ration ni kiasi gani...natamani nitengeneze hizi jumamosi....<br /><br />Na recipe ya mabumunda unaweza kutuwekea kama unajua jinsi ya kutengeneza?..LOL Mabumunda...yale popcorn tulikua tunauziwa during the break time primary school...Najiuliza walikua wanatengenezaje kila siku..Ilikua kama round bolls..Lakini popcorns sijui na nini tena ilikua tamu zana..Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-58297371383194219452011-07-16T10:26:52.543+02:002011-07-16T10:26:52.543+02:00Sasa ndugu yangu ukishachanganya hivyo unaoka au u...Sasa ndugu yangu ukishachanganya hivyo unaoka au unapakuwa tayari kwa kuliwa ?Anonymousnoreply@blogger.com