tag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post1612760051166240452..comments2023-09-15T15:51:27.184+02:00Comments on The CEO Culinary Artist Tanzanian Executive chef Issa Kapande: JINSI YA KUANDAA CHAKULA CHA MTOTO SIKU YA ALHAMISI KUTOKA KATIKA RATIBAIssa Kesuhttp://www.blogger.com/profile/01773568103425650542noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-9161082819391228772010-05-11T15:31:41.461+02:002010-05-11T15:31:41.461+02:00Thanks Issa kwa mafunzo ya Jinsi ya Kuandaa vyakul...Thanks Issa kwa mafunzo ya Jinsi ya Kuandaa vyakula vya watoto kutoka katika ratiba. Je kuna ratiba planned ambayo imeaonyesha hivi vyakula kwa kila siku sasa ndio unatoa maandalizi ya kila siku au we have to make a schedule from hayo maelezo. Am just curious to know and of course it would be glad to have that ratiba if its there.

Thanks again and Goodluck.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-55448125093758144462010-05-11T10:45:54.680+02:002010-05-11T10:45:54.680+02:00Chef Issa, kuna ratiba ya mlo wa watoto umeandika ...Chef Issa, kuna ratiba ya mlo wa watoto umeandika hivi:
"""Chukua nyama ya bata mzinga au nyama ya kuku au nyama ya bata kisha ipake chumvi kiasi na limao kwa ladha kisha izungushie Bacon mbichi ya ng’ombe"""

nijuavyo mimi bacon ni nyama ya nguruwe, wewe umeandika bacon ya ng'ombe, hakuna kitu hicho. bacon ni nguruwe!Anonymousnoreply@blogger.com