tag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post2497113098324923766..comments2023-09-15T15:51:27.184+02:00Comments on The CEO Culinary Artist Tanzanian Executive chef Issa Kapande: SPAGHETI NA NYAMA YA KUSAGA MHHHH YAM YAM!!!!Issa Kesuhttp://www.blogger.com/profile/01773568103425650542noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-20325022142500163172012-08-11T18:29:20.304+02:002012-08-11T18:29:20.304+02:00Nashukuru sana kaka Issa kwa mapishi mazuri...Ila ...Nashukuru sana kaka Issa kwa mapishi mazuri...Ila naomba kuuliza, kwa nini tunaweka unga wa ngano katika hayo mapishi yetu?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-37124955779263809762012-07-01T08:29:57.916+02:002012-07-01T08:29:57.916+02:00Ahsante CHIEF...Leo nataka nianze na hii nyama ya ...Ahsante CHIEF...Leo nataka nianze na hii nyama ya kusaga,unajua nn Issa,nataka nitengeneze story kama ya JULIE&JULIA..............BT HII ITAKUWA ISSA&RAHMA.
Ntakuinbox FEEDBACK.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-62674810847597902502012-06-06T10:26:56.541+02:002012-06-06T10:26:56.541+02:00Jamani kwa kweli hii site mimi naipenda sana. Imen...Jamani kwa kweli hii site mimi naipenda sana. Imenifundisha mapishi mengi ambayo nilikuwa siyajui..Nakupongeza sana ndugu Issa, endelea kutuletea mapishi moto moto..Annanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-82686081400917749172010-07-15T11:04:41.106+02:002010-07-15T11:04:41.106+02:00asante
nilipika hii kitu ingawa mimi sikuweka ung...asante
nilipika hii kitu ingawa mimi sikuweka unga wa ngano...
kuipika hii nyama ni rahisi sana na inanoga sana

endelea kutupa mavituz mkuu!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-42334283205643858292010-06-30T13:50:41.696+02:002010-06-30T13:50:41.696+02:00pia naomba naomba siku uje uelekeze jinsi ya kupik...pia naomba naomba siku uje uelekeze jinsi ya kupika mkate au skonsi na keki.thanksAnonymousnoreply@blogger.com