tag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post4476122169818807196..comments2023-09-15T15:51:27.184+02:00Comments on The CEO Culinary Artist Tanzanian Executive chef Issa Kapande: FAMILIA YAKO WANAPENDA KEBAB? WATENGEZEE HII WATAFURAHIA SANAIssa Kesuhttp://www.blogger.com/profile/01773568103425650542noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-13849372265381406972014-05-15T10:33:50.680+02:002014-05-15T10:33:50.680+02:00Habari kaka. Navyojua mimi foil paper hutakiwi kuw...Habari kaka. Navyojua mimi foil paper hutakiwi kuweka kwenye microwave sasa inakuaje unaweza weka kwenye oven ya kawaida? what is the difference?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-39144889910239343122010-06-20T06:23:03.361+02:002010-06-20T06:23:03.361+02:00Habari kaka. tunashukuru sana kwa kutufumbua mach...Habari kaka. tunashukuru sana kwa kutufumbua macho sie vipofu panapo mapishi. tatizo langu ni vipimo unavyotumia, sina kitchen scale sasa unaweza weka vipimo kwa vikombeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-47178984218037816082010-05-28T10:08:36.973+02:002010-05-28T10:08:36.973+02:00na kweli izo grams wengi hatuna
sie waswahili bwa...na kweli izo grams wengi hatuna

sie waswahili bwana,wee tupe kipimo cha kijiko ganiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-43042266953568377052010-05-28T10:06:33.402+02:002010-05-28T10:06:33.402+02:00heee kumbe mbao unaviringisha na foil??hahahahaa a...heee kumbe mbao unaviringisha na foil??hahahahaa asante maana nilikua naunguza sana izo mbao katika oven

elimu murua kabisa leo nimepataAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-81724178100175631092010-04-27T21:15:49.105+02:002010-04-27T21:15:49.105+02:00mdau hapo juu nadhani unaweza kuchoma kama mshikak...mdau hapo juu nadhani unaweza kuchoma kama mshikaki sema moto huwe mdogo hili usiunguze.

chef issa mimi nilikua naulizia badala grams unaweza kuniambia kiwango kwa kijiko manake sina vipimo kwa grams hapa asante sana.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-50327420642438491622010-04-22T09:06:18.573+02:002010-04-22T09:06:18.573+02:00Chef nisaidie unaweza ki=upika kababu kwa kufry kw...Chef nisaidie unaweza ki=upika kababu kwa kufry kwenye mafuta km unavyopika maandazi nataka kupika ila oven sina nijbu kabla cjanunua mahitajiAnonymousnoreply@blogger.com