tag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post4483856444803271174..comments2023-09-15T15:51:27.184+02:00Comments on The CEO Culinary Artist Tanzanian Executive chef Issa Kapande: GREETINGSIssa Kesuhttp://www.blogger.com/profile/01773568103425650542noreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-4395920166444102342010-10-16T05:50:21.170+02:002010-10-16T05:50:21.170+02:00Poleni sana Chef Issa kwa msiba uliowapata.
Tunawa...Poleni sana Chef Issa kwa msiba uliowapata.
Tunawaombea faraja ya Mungu katika kipindi hiki.
RIP Mjomba Kitumbo.
Poleni sana

Mama Jeremiahmama Jeremiahnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-1213549493308097332010-10-15T11:13:47.724+02:002010-10-15T11:13:47.724+02:00innalillah wainaillahi rajiuun! hakika mola atamj...innalillah wainaillahi rajiuun! hakika mola atamjaalia maisha mazuri huko alipo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-5800410153519069192010-10-15T09:48:57.845+02:002010-10-15T09:48:57.845+02:00Pole sana kwa msiba na safari njema.Pole sana kwa msiba na safari njema.Majoynoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-45980835358320488672010-10-15T09:41:20.648+02:002010-10-15T09:41:20.648+02:00Inna Lillahi Wainna Illahi Rajeun.Inna Lillahi Wainna Illahi Rajeun.Unknownhttps://www.blogger.com/profile/12028429115311987678noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-46982702011750752472010-10-14T04:53:04.013+02:002010-10-14T04:53:04.013+02:00Pole sana Chef Issa kwa kuondokewa na Mjomba wako....Pole sana Chef Issa kwa kuondokewa na Mjomba wako. Inauma sana ulienda nyumbani kwa mapumziko tena yanatokea mengine. Nyway kazi ya Mungu haina makosa.'Ninakutakia safari njema.
Mdau wa Blog yako( Uchina)Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-3193320720976899522010-10-09T07:25:05.755+02:002010-10-09T07:25:05.755+02:00kaka karibu sana nyumbani.
Duh I wish nipate muda ...kaka karibu sana nyumbani.
Duh I wish nipate muda japo wa kukupa mkono tu. Lakini nakutakia mapumziko mema na Inshallah tukijaliwa tuendelee na mafunzo yetu.Disminder orig babyhttps://www.blogger.com/profile/15255019182605139340noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-33497064550807391492010-10-08T10:52:50.688+02:002010-10-08T10:52:50.688+02:00KARIBU NYUMBANI KAKA ME NIGEPENDA UNIJUZE TUNDA LA...KARIBU NYUMBANI KAKA ME NIGEPENDA UNIJUZE TUNDA LA BEETROOT LINAPIKWA AU LINALIWA HIVI NA KAMA LINAFAA KWA JUICE JE NAWEZA CHANGANYA NA MATUNDA YAPI ILI KUPATA LADHA MURUA NI HAYO KARIBI SANA NYUMBANI
MDAU MAMA COLLINAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-63912933400350298882010-10-08T07:18:29.754+02:002010-10-08T07:18:29.754+02:00Habari yako Kaka Issa
Natumai u mzima wa afya. Kwa...Habari yako Kaka Issa
Natumai u mzima wa afya. Kwanza napenda kusema asante kwa kuanzisha blog hii kwasababu chakula cha nyumbani kimekuwa so boring ni wali maharage tuu angalau sasa hivi tunabadlisha menu..

Huwa napenda kuangalia blog yako na kufuata recipes nikiwa nataka kupika chakula special kwa ajili ya rafiki zangu ila huwa sina choices nying wengi wao ni vegeterians. Kwahiyo naomba ikiwezekana uwe pia unaweka vegeterian recipes kwa ajili ya vegeterians na pia vyakula kwa wale wanaotaka kupunguza uzito au kuongeza uzito.

Namuomba Mungu akupe wewe na familia yako afya njema na kila la kheri endelea na kazi nzuri.

Asante
Mdau wa blog yakoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-91205389491581859712010-10-07T16:26:32.555+02:002010-10-07T16:26:32.555+02:00Habari Kaka Issa
Nafurahi kusikia uko nyumbani. Ni...Habari Kaka Issa
Nafurahi kusikia uko nyumbani. Nilikuwa naomba kama utaweza utuwekee namna ya kuandaa pizza. Hasa kwa kutumia oven zetu za kibongo, na kama Microwave oven yaweza tengeneza pia tujuze.
Asante
Mdau wa Blog yako.Anonymousnoreply@blogger.com