tag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post5137529920374004882..comments2023-09-15T15:51:27.184+02:00Comments on The CEO Culinary Artist Tanzanian Executive chef Issa Kapande: NAMNA YA KUTENGENEZA MAANDAZIIssa Kesuhttp://www.blogger.com/profile/01773568103425650542noreply@blogger.comBlogger11125tag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-16451747749015834112016-07-19T12:15:05.663+02:002016-07-19T12:15:05.663+02:00Chief hakika nakupongeza sana kwa elimu ya ujasili...Chief hakika nakupongeza sana kwa elimu ya ujasiliamali uliyoitoa bure tena kwa kueleweka. Tushindwe wenyewe maana maandishi pamoja na picha vinajieleza wazi kabisaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/09620419663338914467noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-63974205423801041962015-06-23T06:09:42.709+02:002015-06-23T06:09:42.709+02:00Chief nimeyapenda sana haya maandazi, maana hayana...Chief nimeyapenda sana haya maandazi, maana hayana viungo ving me hua sipend maandazi yenye ilik na viungo viingii.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-79302329394753875062015-01-16T18:25:09.760+01:002015-01-16T18:25:09.760+01:00Chef katika siku zote nilizowahi kupika maandazi h...Chef katika siku zote nilizowahi kupika maandazi haya kiboko! Malaini na mazuri mno na ndani hayana mafuta. Ubarikiwe sana. Asante!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-20875302469958087052014-11-04T21:45:57.800+01:002014-11-04T21:45:57.800+01:00Asante kwa maelekezo. Nataka kupika maandazi laki...Asante kwa maelekezo. Nataka kupika maandazi lakini natumia dough mixer kukandia je nafuata utaratibu huoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-42085546972358672752014-02-25T00:02:26.798+01:002014-02-25T00:02:26.798+01:00kila nikikaanga maandazi au kalimati yanakuwa na d...kila nikikaanga maandazi au kalimati yanakuwa na done ndani yani halichambuki kama sponji, nakosea nini??Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-33654634908627154022012-05-11T00:00:49.244+02:002012-05-11T00:00:49.244+02:00nakukubali sana kaka angu...mara nyingi nikitaka k...nakukubali sana kaka angu...mara nyingi nikitaka kupika hua nachungulia humu ndani nipate maujanja mara moja namsuprise husbandAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-91919958089726979142010-07-28T14:50:28.169+02:002010-07-28T14:50:28.169+02:00asante kaka sana kwa recipe yako nzuri sana ya maa...asante kaka sana kwa recipe yako nzuri sana ya maandazi, hata mie sipendi vikorombenzo naipenda style yako hiyo, ukiweka iliki sipendi kabisa hiyo arufu yake kwenye maandazi asante naenda kupika saa hii ,Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-43671748632201462312010-02-26T08:45:12.701+01:002010-02-26T08:45:12.701+01:00chef hongera kwa kazi nzuri,endelea kutuelimisha n...chef hongera kwa kazi nzuri,endelea kutuelimisha na kutunufaisha kwa kipaji ulichopewa na Mola.
kila la kheri Chef
mama Roxxie.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-66232003479551288682010-02-06T14:57:02.861+01:002010-02-06T14:57:02.861+01:00mswahilki sie hatutaki mapishi ya kiswahili,kaka h...mswahilki sie hatutaki mapishi ya kiswahili,kaka hapa ye anatufundisha ya kwake hivyo hajakosea.we na iliki kivyako vyako.Wapishi wengii...........???Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-11235106501363438322010-01-31T08:28:11.348+01:002010-01-31T08:28:11.348+01:00Mbona maandazi hayana iliki? Sie watu wa pwani maa...Mbona maandazi hayana iliki? Sie watu wa pwani maandazi yanatiwa iliki, yaani zile mbegu zake unatoa unazisaga kidogo unachanganya kwenye unga kabla hujaweka maji. Mimi maandazi kwa ajili ya watoto huweka mayai na maziwa au tui la nazi badala ya maji ili kuongeza virutubisho.

MswahiliAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-9696209309841785152010-01-26T15:30:10.580+01:002010-01-26T15:30:10.580+01:00Du yamy yamyiii, am going to do it for Kids over t...Du yamy yamyiii, am going to do it for Kids over this weekend, Mungu akubariki kwa kushare nasi kipaji chako kaka. tupe ushauri juu ya watoto wasiopenda kula

Mdau
Lim2217Anonymousnoreply@blogger.com