tag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post8509598489636375082..comments2023-09-15T15:51:27.184+02:00Comments on The CEO Culinary Artist Tanzanian Executive chef Issa Kapande: JIFUNZE KUPIKA PASTA YA KUCHANGANYA PAMOJA NA NYAMAIssa Kesuhttp://www.blogger.com/profile/01773568103425650542noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-7316550919133234872013-02-16T19:43:52.388+01:002013-02-16T19:43:52.388+01:00nimefurahi sana kujua namna ya kuweka cheese.
Dada...nimefurahi sana kujua namna ya kuweka cheese.
Dada wa MoshiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-35841602413038974092013-02-07T01:51:53.402+01:002013-02-07T01:51:53.402+01:00Sal,Best chef pls naomba unambie nitapata wapi iyo...Sal,Best chef pls naomba unambie nitapata wapi iyo chumvi ya mbogamboga,in europe au nyumbani supamaket gani ili niweze agiza. thanks Bro
A.magangaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-85546089698545365132013-02-06T17:23:50.738+01:002013-02-06T17:23:50.738+01:00nitajaribu huu upishi tukijaaliwa. Oven moto plz k...nitajaribu huu upishi tukijaaliwa. Oven moto plz kiasi gani na approx ya mudaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-47607759258461346692013-02-04T20:24:33.956+01:002013-02-04T20:24:33.956+01:00Hi chef Issa pls tuambie moto kiasi gani na Kwako ...Hi chef Issa pls tuambie moto kiasi gani na Kwako muda gani.
Nasubiri Kwa Hamu jibu ili nilipike pishi hilo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-1851110290723989282013-02-03T17:13:46.525+01:002013-02-03T17:13:46.525+01:00hallo chef,
hongera sana kwa kazi nzuri.
Maoni k...hallo chef,

hongera sana kwa kazi nzuri.

Maoni kuhusu video
-nadhani kama kila kitu kitakua kimetayarishwa , then ukiwa wapika unakua kwenye best position ambayo itatupa watazamaji view nzuri itakua vizuri zaidi.Kwa sababu sehemu unayopikia kwa sasa ni ndogo na inashindwa kuruhus movements na at the same time picha itokee vizuri.
-labda pia pale unapopika mfano kitunguu mpaka kiwe brown,waweza tuonyesha unavyoweka kitunguu motoni,then ukatuonyehs pale kinapokua tayari cha brown.

otherwise nakutakiwa kila mafanikiao kwa kweli,kama kueleweka waeleka bila wasi,unaelekeza vizuri tu.

be blessed,Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-78014681415404692062013-02-01T13:26:45.859+01:002013-02-01T13:26:45.859+01:00swali:moto wa oven ni kiasi gani na dk ngapi kwa i...swali:moto wa oven ni kiasi gani na dk ngapi kwa ichi chakula?
thaxAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-71107631914560623362013-02-01T13:24:02.366+01:002013-02-01T13:24:02.366+01:00aseee me pasta na cheese huwa sipendi,ila kwa mapi...aseee me pasta na cheese huwa sipendi,ila kwa mapishi haya ngoja nikapike nione radha yake,napenda mno nyama ya mbuzi

asante kwa upishi unaoeleweka wa video chefAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-8448360091851098712013-02-01T08:28:07.610+01:002013-02-01T08:28:07.610+01:00nakuja na hili pishi asee
safi sananakuja na hili pishi asee
safi sanaAnonymousnoreply@blogger.com