tag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post276067261915109290..comments2023-09-15T15:51:27.184+02:00Comments on The CEO Culinary Artist Tanzanian Executive chef Issa Kapande: UNATAKA KUFANYA BBQ PARTY SUPER NYUMBANI KWAKO?Issa Kesuhttp://www.blogger.com/profile/01773568103425650542noreply@blogger.comBlogger16125tag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-85833158791264893152010-04-13T14:19:50.586+02:002010-04-13T14:19:50.586+02:00Jamcjui nilikua wapi ckuwah kupata hii kitu! Chef ...Jamcjui nilikua wapi ckuwah kupata hii kitu! Chef Issa kweli mapishi unayajua wewe!Momnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-69154146345140451482010-03-22T06:15:40.373+01:002010-03-22T06:15:40.373+01:00Chef Issa, asante kwa kazi nzuri nimejifunza mambo...Chef Issa, asante kwa kazi nzuri nimejifunza mambo mengi na naendelea kujifunza Big up ISSA!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-78191423428655672282010-03-20T06:35:01.523+01:002010-03-20T06:35:01.523+01:00Kaka sina la zaidi ila nipe mawazo ninunue vitu ki...Kaka sina la zaidi ila nipe mawazo ninunue vitu kiasi gani kama naalika watu 100 mpaka 150.
Unastahili tuzo kweli.

disminder.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-36128161172163198962010-03-19T15:12:43.214+01:002010-03-19T15:12:43.214+01:00Hii kitu imetulia sana, yaani hapo kama una grants...Hii kitu imetulia sana, yaani hapo kama una grants inashuka tuBennethttps://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-36250358389974258482010-03-19T15:08:50.610+01:002010-03-19T15:08:50.610+01:00Asante sana ChefAsante sana ChefRukynoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-26105005627903246722010-03-19T06:22:18.058+01:002010-03-19T06:22:18.058+01:00kaka vipi uko busy sana?
Pole na kazi, tunakusubir...kaka vipi uko busy sana?
Pole na kazi, tunakusubiri na vitu zaidi.

disminder.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-53161025648987939422010-03-18T19:45:17.229+01:002010-03-18T19:45:17.229+01:00mimi ni mdau wa blog yako naipenda sana na naifwat...mimi ni mdau wa blog yako naipenda sana na naifwatilia sana nilikua naomba uniwekeeunajua jinsi ya kupica prons,kamba koche yaani sea food wengi tunajua tu kukaanga samaki na kula wakati kuna staly nyingi za kutengeneza sea food nitafurahi nikipata maelekezo ya mapishi.mdau miss kilimanjaro finlandAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-71088239752688398742010-03-18T08:53:21.188+01:002010-03-18T08:53:21.188+01:00kaka tutajie majina yake na ni vipi vimetengenezwa...kaka tutajie majina yake na ni vipi vimetengenezwa, nimependa sana. Uko juuuuuuuuuuuuuuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-30587543004586679542010-03-17T14:08:21.056+01:002010-03-17T14:08:21.056+01:00Kaka Issa ahsante kwa kutuwekea mapishi safi kabis...Kaka Issa ahsante kwa kutuwekea mapishi safi kabisa ila umesahau kuweka maelekezo baada ya picha.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-62991073963509163722010-03-17T12:34:07.695+01:002010-03-17T12:34:07.695+01:00Mhe. Chef Issa, tunaomba maelezo kidogo jinsi ya k...Mhe. Chef Issa, tunaomba maelezo kidogo jinsi ya kutengeneza BBQ ulizozionyesha hapo ili tuweze kufanya practices.
Pia ukipata muda unaweza ukatufundisha jinsi ya kupika mboga mbali mbali za kitanzania kwani huku misosi mingi tunayokula ni ya kichina.

Mdau ChinaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-85318478131155879892010-03-17T10:15:57.290+01:002010-03-17T10:15:57.290+01:00pole na kazi kaka, ila me nashukuru najifunza vema...pole na kazi kaka, ila me nashukuru najifunza vema kupika chakula kizuri na mume wangu anaenjoy sana,juzi tumekula nyama ya mbuzi na chapati,
sasa ombi picha hii kwa sisi wengine ingependeza kama ungeweka na maelezo japo kwa ufupi ili tujue unaandaaje na salad zake zinakuaje.asante naomba huo msaada kaka.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-15603214204934850742010-03-17T08:54:00.669+01:002010-03-17T08:54:00.669+01:00kweli duniani kuna karama na vipawa mbalimbali!! N...kweli duniani kuna karama na vipawa mbalimbali!! Nakufagilia saana mdogo wangu,tulisoma wote kule nyegezi japo ulikuwa nyuma darasa moja!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-73978243828320325752010-03-17T08:44:52.317+01:002010-03-17T08:44:52.317+01:00Ushauri wangu hebu andaa kijitabu cha mapishi utuu...Ushauri wangu hebu andaa kijitabu cha mapishi utuuzie!! HONGERA SANAAAAAAAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-38733495687545657412010-03-17T07:54:58.436+01:002010-03-17T07:54:58.436+01:00kaka uko juu sana na hili lazima nilifanyie kazi s...kaka uko juu sana na hili lazima nilifanyie kazi sasa hapo umesahau salad si unajua tena kaka nimekukubalin hope baadae tutapata mengine

g.dayAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-48131752955049206182010-03-17T07:20:28.581+01:002010-03-17T07:20:28.581+01:00Kaka tupe mambo, jamani tuna mpango wa kufanya BBQ...Kaka tupe mambo, jamani tuna mpango wa kufanya BBQ katika mahari ya rafiki yetu.

Asante sana.

disminder.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-1712415334629147072010-03-17T06:23:02.469+01:002010-03-17T06:23:02.469+01:00Chef Issa hii kitu imetulia kwa sana. Yaani mpangi...Chef Issa hii kitu imetulia kwa sana. Yaani mpangilio uko bomba

HildaHildahttps://www.blogger.com/profile/15719605247426296581noreply@blogger.com