tag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post8798761336724750382..comments2023-09-15T15:51:27.184+02:00Comments on The CEO Culinary Artist Tanzanian Executive chef Issa Kapande: HABARI WAPENZI WA BLOGIssa Kesuhttp://www.blogger.com/profile/01773568103425650542noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-24345010342412837042011-03-22T20:38:24.368+01:002011-03-22T20:38:24.368+01:00Hongera nyingi kwa mama Kapande. Tunazizi kumuombe...Hongera nyingi kwa mama Kapande. Tunazizi kumuombea heri na baraka kwenye kazi zake za kusaidia Jumuiya. Tunaona matunda yake kwa msaada tunaoupata hapa kwenye Blog yetu ya mapishi.<br /><br />Mbarikiwe sana Kapande familymama Jeremiahnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-29600700025533372902011-03-22T12:19:44.125+01:002011-03-22T12:19:44.125+01:00hongera bi Asya, sina pingamizi na hiyo tuzo nina ...hongera bi Asya, sina pingamizi na hiyo tuzo nina hakika hata hao walioitoa they wil never regret. sio siri wapenzi wasomaji wenzangu niliwahi kukutana na Bi Asya (ASIA) for only a day ila kwa hakika anastahiki. big upAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-70449630321476540262011-03-21T09:12:59.405+01:002011-03-21T09:12:59.405+01:00Assalam aleykum Mama Kapande. Nampa hongera kubwa...Assalam aleykum Mama Kapande. Nampa hongera kubwa sana. Mimi sikufanya kazi nae lakini lakini ni Mama ambaye katika wamama wanaoleta maendeleo makubwa kimya kimya bila ya kupiga makelele katika vyombo vya habari au katika mikutano ya akina Mama. Asia uko juu Mama.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-68213238764951521392011-03-16T21:50:23.857+01:002011-03-16T21:50:23.857+01:00MAMA yetu sote tunampa pongezi sana na MWENEZI MUN...MAMA yetu sote tunampa pongezi sana na MWENEZI MUNGU amizidishie kila la kheriFarid Bin Alinoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-47470528330633557762011-03-16T12:39:01.980+01:002011-03-16T12:39:01.980+01:00Hongera Mama Kapande! Nimefanya naye kazi na naen...Hongera Mama Kapande! Nimefanya naye kazi na naendelea kufanya naye kazi hivo nafahamu kuwa anastahili tuzo hiyo.!o'Wambura Ng'wanambiti!https://www.blogger.com/profile/17146066311562834541noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-64404300397856565782011-03-14T09:58:23.213+01:002011-03-14T09:58:23.213+01:00Hongera sana , kwakweli familia imebarikiwa , insh...Hongera sana , kwakweli familia imebarikiwa , inshallah mmungu awabariki zaid na zaid sio kwenu nyinyi tu hata kwa kizazi kijacho ,kaka keki sijapika bado isione nimekukimbia nikipika picha nitatuma tu inshallah ila fedha kidogo inapiga chenga sasa iviAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-35490325346440531002011-03-13T13:41:10.217+01:002011-03-13T13:41:10.217+01:00Hongera sana mama yetu,mwenyezi mungu na akuzidish...Hongera sana mama yetu,mwenyezi mungu na akuzidishie uhai mrefu na uzidi kusaidia jamii zaidi kwa uwezo wake mola.<br /><br />Mdau FinAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6170195526844005914.post-79605019878319616602011-03-03T12:09:32.085+01:002011-03-03T12:09:32.085+01:00pole na kazi, mimi nilikuwa naomba uniandikie kwa ...pole na kazi, mimi nilikuwa naomba uniandikie kwa vipimo jinsi ya kutengeneza ice cream kwa machine, manake nachanganyikiwa wengine wanatumia kuweka cream wengine milk, wengine condesed milk sasa nachanganyikiwa nataka ile basic tu alafu vikolombwezo nitajitahidi thanksAunt Ndaga UKnoreply@blogger.com