Thursday, October 7, 2010

GREETINGS


HABARI WAPENZI WA BLOG

 NASHUKURU SANA SANA WAPENZI WOTE WA BLOG TULIOWEZA KUONANA NA KUBADILISHANA MAWAZO WAKATI WA LIKIZO YANGU INSHAALAH TUTAONANA TENA DECEMBER MOLA AKIPENDA. NAOMBA MNITUMIE PICHA ZA VYAKULA MLIVYOTENGENEZA NIWEKE KATIKA BLOG.

NAWATAKIA KAZI NA SIKU NJEMA.

CHEF ISSA 



9 comments:

  1. Habari Kaka Issa
    Nafurahi kusikia uko nyumbani. Nilikuwa naomba kama utaweza utuwekee namna ya kuandaa pizza. Hasa kwa kutumia oven zetu za kibongo, na kama Microwave oven yaweza tengeneza pia tujuze.
    Asante
    Mdau wa Blog yako.

    ReplyDelete
  2. Habari yako Kaka Issa
    Natumai u mzima wa afya. Kwanza napenda kusema asante kwa kuanzisha blog hii kwasababu chakula cha nyumbani kimekuwa so boring ni wali maharage tuu angalau sasa hivi tunabadlisha menu..

    Huwa napenda kuangalia blog yako na kufuata recipes nikiwa nataka kupika chakula special kwa ajili ya rafiki zangu ila huwa sina choices nying wengi wao ni vegeterians. Kwahiyo naomba ikiwezekana uwe pia unaweka vegeterian recipes kwa ajili ya vegeterians na pia vyakula kwa wale wanaotaka kupunguza uzito au kuongeza uzito.

    Namuomba Mungu akupe wewe na familia yako afya njema na kila la kheri endelea na kazi nzuri.

    Asante
    Mdau wa blog yako

    ReplyDelete
  3. KARIBU NYUMBANI KAKA ME NIGEPENDA UNIJUZE TUNDA LA BEETROOT LINAPIKWA AU LINALIWA HIVI NA KAMA LINAFAA KWA JUICE JE NAWEZA CHANGANYA NA MATUNDA YAPI ILI KUPATA LADHA MURUA NI HAYO KARIBI SANA NYUMBANI
    MDAU MAMA COLLIN

    ReplyDelete
  4. kaka karibu sana nyumbani.
    Duh I wish nipate muda japo wa kukupa mkono tu. Lakini nakutakia mapumziko mema na Inshallah tukijaliwa tuendelee na mafunzo yetu.

    ReplyDelete
  5. Pole sana Chef Issa kwa kuondokewa na Mjomba wako. Inauma sana ulienda nyumbani kwa mapumziko tena yanatokea mengine. Nyway kazi ya Mungu haina makosa.'Ninakutakia safari njema.
    Mdau wa Blog yako( Uchina)

    ReplyDelete
  6. Pole sana kwa msiba na safari njema.

    ReplyDelete
  7. innalillah wainaillahi rajiuun! hakika mola atamjaalia maisha mazuri huko alipo.

    ReplyDelete
  8. Poleni sana Chef Issa kwa msiba uliowapata.
    Tunawaombea faraja ya Mungu katika kipindi hiki.
    RIP Mjomba Kitumbo.
    Poleni sana

    Mama Jeremiah

    ReplyDelete

Tunaheshimu sana maoni yako