Sunday, November 7, 2010

JIFUNZE KUCHONGA MBOGA NA MATUNDA SOON UTAPATA SHULE



KAA TAYARI KWA MAFUNZO HAYA YA UCHONGAJI WA MBOGA NA MATUNDA











4 comments:

  1. Kaka nakupongeza sana kwa darasa unalotupa hapa, natamani kurudi shule nikasome mapishi. wengine kama tulienda shule bila kujua tunataka nini!

    ReplyDelete
  2. kwa kweli ninafaidika sana na mapishi yako.Mume wangu anapenda sana kula hivyo nimepanda grade kutokana na mapishi yako. Sasa huu utundu wa kutengeneza picha za matunda imetia fora. Kazi njema.

    ReplyDelete
  3. Hongera sna kwa kutupa darasa la bure. Mungu akujalie uendelee na moyo huo huo!
    Twasubiri maujuzi haya kaka.

    ReplyDelete
  4. hongera sana kaka iskwa ubunifu wako yaan inafurahisha sana, nimejifunza mengi sana, hilo tikiti mpaka natamani kutokulila nikae nalitazama tu.......safiiiiiii

    ReplyDelete

Tunaheshimu sana maoni yako