Sunday, December 19, 2010

HABARI YA SIKU NYINGI WAPENZI WOTE WA CULINARY CHAMBER BLOG


SAMAHANI SANA WAPENZI WOTE WA BLOG KWA KUTOKUA NA MAWASILIANAO YEYOTE KATIKA BLOG KWA WIKI MBILI SASA.

HAPA NILIPO KWASASA NI KIJIJINI INTERNET ILINISUMBUA SANA NASHUKURU SASA IPO SAFI NA NITAENDELEA KUTOA MAFUNZA KAMA KAWAIDA. KAENI TAYARI KUPATA RECIPE NYINGI NA NZURI HASA WAKATI HUU WA SIKUKUU YA KUFUNGA MWAKA.

MOLA AJALIAPO SALAMA NITAKUA DAR ES SALAAM TAR 1/1/2010 MCHANA NA NITAONDOKA DAR ES SALAAM TAR 4/1/2011 KWA WALE WOTE WATAKAO KUA NA MASWALI KUHUSU CHAKULA TUNAWEZA KUWASILIANA KWA SIMU NAMBA NITAIWEKA TAR 28/12/2010.

"SURPRISE SURPRISE"

NAOMBA MBASHIRI NI TUKIO GANI MUHIMU LITAJIRI HAPA KATIKA BLOG HII KATIKA SIKU 10 ZINAZOKUJA? ZAWADI SAFI SANA ATAPATIWA MSHINDI WA KWANZA KUBASHIRI. TUMA MAONI HAPA HAPA KATIKA BLOG ILI WATU WOTE WAONE ISIJE KUA LAWAMA NIMEMPENDELEA MTU NA ANDIKA JINA LAKO BAADA YA KUTOA JIBU SAHIHI MPAKA SASA MSHINDI HAJAPATIKANA.

NAWATAKIA SIKU NA KAZI NJEMA

CHEF ISSA


24 comments:

  1. Mimi nahisi utatuwekes recipes mpya na mafunzo kutoka huko ulipokuwepo.
    Pia blog yetu itakuwa "bombi zaidi".

    ReplyDelete
  2. Unatimiza mwaka toka kuanzisha blog hii.

    ReplyDelete
  3. Nabashiri utaanza kutuwekea video clips za mapishi yako

    ReplyDelete
  4. Tarehe 29.12.2009 blog hii ya Culinary chamber ilianzishwa hivyo tar 29.12.2010 inatimiza mwaka 1 i hope me ndio wa kwanza me mdau wako Arusha.

    ReplyDelete
  5. mapishi ya kiafrika toka kijijini kwenu. Lucy

    ReplyDelete
  6. nabashiri kuwa utatupatia mapishi ya kienyeji toka kijijini kwenu. Lucy

    ReplyDelete
  7. habari,

    ningependa kubashiri nini kinafuta ila kwa maoni kwanini tusikutumie kwenye email address yako instead of MAONI? ni swali na mtazamo tuu

    ReplyDelete
  8. TUKIO MUHIMU LITAKALO JIRI KATIKA BLOG YAKO KATIKA SIKU 10 ZIJAZO NI KUTIMIZA MWAKA 1 TANGU KUAZISHWA KWA BLOG YA CULINARY CHAMBER TAREHE 31/12/2009.

    NATITWA JANE J. MUSUNGA
    E.MAIL janejos2003@yahoo.com
    TEL: 0655777944

    ReplyDelete
  9. Hi Kaka. I think it will be THE 2ND ANNIVERSARY DAY toka Blog hii kuanzishwa.

    ReplyDelete
  10. Tukio litakalo jiri ni kubadilisha muonekano wa blog na kupata sponsor wa blog


    Christine Chipaga

    ReplyDelete
  11. Mapochopocho ya chrismass tunatarajia kuona simple bufee which is affordable to everyone - Mama wolfgang

    ReplyDelete
  12. Narudia tena kutuma comment kuwa blogu ya culinery chamber ilianzishwa tar 19.12.2009 so imetimiza mwaka mmoja jn nilitoa comment hujaitoa till to day me mdau wako Arusha

    ReplyDelete
  13. Suprise ni kwamba Cheif Issa anaoa na siku ya harusi yake yeye ndo atakayeongoza wakati chakula kinapikwa

    ReplyDelete
  14. utaweka receip ya chakula cha safi cha christmas yaani Turkey...mdau Coventry..UK

    ReplyDelete
  15. Harusi yako kaka
    Kijitonyama

    ReplyDelete
  16. mimi natabiri kuwa unatarajia kuoa na upo hapo kijijini kukamilisha taratibu za ndoa kwa pande zote mbili

    ReplyDelete
  17. ONE YR YABLOG HII PIA MAPISHI SPECIAL YA SIKUKUU

    ReplyDelete
  18. Jamani cheff Issa kashaoa na alishatuwekea picha yake na mwanae hapa kwenye blogu wakati alipotoa recipe kuhusu watoto wasiopenda kula

    ReplyDelete
  19. Shule/Kituo chako cha Mafunzo ya Mapishi kwa wale ambao watapenda kujifunza kwa vitendo....

    Lucy John
    lulumbu@yahoo.com

    ReplyDelete
  20. utambulisho wa mtoto wako aliyezaliwa hivi karibuni

    lulumbu@yahoo.com

    ReplyDelete
  21. Hi Chief,
    mie nabashiri Blog inatimiza mwaka mmoja tangu kuanzishwa.

    By Pia Joe, DSM

    ReplyDelete
  22. utatufungua face book kuhusu mapishi,umetayarisha kitabu cha mapishi,utatuwekea mashindano ya mapishi kwa sie wanafunzi wako.
    '

    ReplyDelete
  23. Utakuwa unaweka video za mapishi

    ReplyDelete

Tunaheshimu sana maoni yako