Tuesday, November 22, 2011

HABARI WAPENZI WA BLOG


NIMEUMWA SANA NDUGU ZANGU KWA MUDA WA SIKU 7 SASA NASHUKURU ALLAH SASA NINANAFUU NA NITAENDELEA NA KAZI KAA TAYARI KWA RECIPE SAFI ZA MWAKA MPYA NA CHRISTIMAS

CHEF ISSA

22 comments:

  1. pole sana chef Issa. Tunazidi kumuomba MUNGU upate nafuu ya haraka.
    Samahani sionekani au sikuandikii sana kwani mambo yamekuwa mengi na majukumu yameongezeka. Upone haraka uzidi kutuletea maujuzi ya kupika

    ReplyDelete
  2. Pole sana mwenyezi Mungu azidi kukutangulia!

    ReplyDelete
  3. mbona kuna picha tuuu hamna maelekezo it is very hard to understand weka picha pamoja na maelezo tafadhali

    ReplyDelete
  4. picha tu bila maelekezo huwezi elewa weka picha na maelezo

    ReplyDelete
  5. Pole sana, na Karibu tena ili utupe mambo mapya na mazuri, tuweze kuelimisha jamii yetu.

    ReplyDelete
  6. Pole sana, na Karibu tena ili utupe mambo mapya na mazuri, tuweze kuelimisha jamii yetu.

    ReplyDelete
  7. Pole sana kaka Issa Mungu akutie nguvu.barikiwa sana.

    ReplyDelete
  8. Pole sana kaka, Mungu akurudishie afya yako uendelee na shughuli zako za kila siku.

    ReplyDelete
  9. pole sana kaka...tunashukuru umepona bwana....

    thanx kwa recipes zako

    ReplyDelete
  10. pole sana mpendwa na tunashukuru umepona kwani hujui tu jinsi unavotusaidia ku-improve maswala ya jikoni kwa ujuzi huu unaotupa bure kabisa kaka
    ubarikiwe sana na uzidi kushamili kwa roho yako njema

    tuko pamoja

    ReplyDelete
  11. pole sana jamani.mungu akupe nguvu mpya na afya njema.amen.
    mama l

    ReplyDelete
  12. Pole sana tunashukuru uko salama maana wengine tunapika kwa kupitia kwako

    ReplyDelete
  13. Get well soon but blog yako ina boa kuliko zote nilizowahi kuvist kwani imejaa picha zisizo na maelezo cjui mtu utapikaje bila recipe umekuwa ukiahidi kila mara tunasubiri no changes kuwa up to date bwana na hii si kutokana na kuumwa ni long time unatuboa sana cc wapenzi wako ht hao wanaosifia hawajui wanasifia nn cos huwezi pika kwa macho ukibana poa tu but umeisoma kimyakimya na utaifanyia kazi again get well soon labda utabadilika

    ReplyDelete
  14. Pole sana kaka..Mungu akuponye

    ReplyDelete
  15. Mwenyezi Mungu azidi kukupa shifaa kaka angu.. ila ni kweli kwanini hamna maelezo ni pics tu? sometimes I find hard to understand the recipes...

    ReplyDelete
  16. pole sana inshallah Mungu atakuafu

    ReplyDelete
  17. kaka pole sana, na in shaa Allah utarudi katika hali yako ya kawaida.

    Tweety.

    ReplyDelete
  18. Kaka Issa, vipi mambo? je bado waumwa? Xmas na New year imekaribia hakuna kimpya nilitarajiwa kupata kimpya toka kwako....anyway i wish all the best and happy Xmas and Happy New Year too.....Lucy

    ReplyDelete
  19. pole sana jamani? thats y nilikua nashangaa umepatwa na nini? sioni post zako.. mungu akutie nguvu kaka yangu..

    ReplyDelete

Tunaheshimu sana maoni yako