Friday, February 24, 2012

JIFUNZE KUPIKA MAHARAGE KWA KUTUMIA VIUNGO ILI KUONGEZA LADHA


NI NAFUU SANA KWA GHARAMA NA NI RAHISI SANA KUPIKA NA FAMILIA IKAFURAHIA KWANI FAMILIA NYINGI SANA WANAPENDA KULA WALI MAHARAGE NA NDIZI MBIVU HAPA NI MAHALA PAKE

MAHITAJI

JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAFUNZO HAPO CHINI























6 comments:

  1. kaka, hili harage baaab kubwa,
    hatua za mapishi ni fresh zinaeleweka, ila mahitaji kaka, hasa hivyo viugo, hebu tupe viungo, weekend hii nayatengeneza famili ijilame.
    God Bless you for great job
    ciaoo
    Matei

    ReplyDelete
  2. Mungu akubariki sana Kaka kwa kushare ujuzi wako na wenzio. Ni wachache sana wenye moyo kama wako. Mimi ni mara ya kwanza kuona hii blog, nimeipenda sana. The ONLY problem ambayo utstusaidia wengi ni kuweka maelezo kidogo kuwa umechanganya/kuweka kiunga gani na kiungo kipi kwani kwa picha tu ningumu kidogo kuelewa. Mungu akuzidishe na kukupandisha vileleni!

    ReplyDelete
  3. mapishi mazuri lakini twaomba utupe mahitaji ni yapi nikimaanisha viungo vipi tuweke i need it urgently if you could give it soon i will apreciate

    Thank you Chef

    ReplyDelete
  4. Kaka ISSA Kwa Mara Nyngne Umegusa Mahala Panapotakiwa
    Shukran Sana Kaka.. Kwa Mapnduz Ya Chakula Chenye Radha Yenye Kuongeza Hamasa Ya Kula
    Ila Ume2saidia Kias
    Ni Tofaut Ya Uwaslishaj Wa Dhima Yako Endapo Unge2pa Angalau Mahtaj Ya Mapsh Ye2[viungo]
    2nakukumbusha 2 Mkubwa
    NATANGULZA SHUKRAN YA DHAT!

    ReplyDelete
  5. mboga niipendayo sana na mabyao siichoki ni maharagwe'barikiwa sana kaka adi nakutamani hahahaaa

    ReplyDelete
  6. napenda mboga ya maharage lakini naomba utoe na mahitaji kwasababu ningependa kujaribu kuipika

    ReplyDelete

Tunaheshimu sana maoni yako