Friday, January 18, 2013

JIFUNZE KUTENGENEZA NYAMA SAFI LAINI YA KUKAANGA NA MCHANGANYIKO WA MBOGA MAJANI

 
JIFUNZE KUTENGENZA NYAMA IWE LAINI KABISA NA TAMU KWA MUDA MFUPI PAMOJA NA MBOGA MAJANI
 
 
MAHITAJI
 
JINSI YA KUAANDAA FATILIA VIDEO NA MAELEZO HAPO CHINI

 
VIDEO YA KWANZA
 
 
HII NI VIDEO YA PILI NA YA MWISHO
 
 
 


9 comments:

  1. pole na kazi kaka, mi ni mdau wa blog hii sana naomba japo unaweka video ila naomba uweke na maelekezo kwa kuandika pia kama ilivyokuwa zamani kwa sababu sio wote tulio na computer na internet nzuri zenye uwezo wa ku-play video.

    ReplyDelete
  2. ahsante sana.nitajaribu upishi,na nitatoelea na ugali.vidoe inasaidia sana maana unaona step by step thanks bro

    ReplyDelete
  3. unafaa sana chef wetu wa ukweli,umefanya tufurahie chakula kitamu na familia kwa kupika kama maelezo yako

    barikiwa mno
    mdau Aza

    ReplyDelete
  4. video ni kitu kizuri sana na ninaelewa mno kwa vitendo hasa vitu vya kuchanganya na upikaji wake halisi,i think uendelee tu na video kuliko maneno

    nimekupenda bure chef

    ReplyDelete
  5. salam alyekum. aksante sana kwa kushea na sisi yani kila kitu kinaeleweka vizuri, kesho nami nakula ivyo.. inshAllah! mungu akubariki kwa kutupa ulichajaliwa. i appriciate bro. mdau wako
    A,Maganga

    ReplyDelete
  6. thanks chef, ila kama alivosema mdau wa kwanza, wengine video kidogo inakua mtihani, so please, weka na yale maelezo yetu ya zamani ili kwa wanasie tuweze kupata fursa. ubarikiwe sana kaka issa.

    ReplyDelete
  7. Issa video tumeiona na kwa kweli nimefurahia sana jinsi unavyoelekeza mapishi yako keep it up

    ReplyDelete
  8. video ni nzuri sababu unaona step by step,i like your blog

    ReplyDelete
  9. Shukrani sana kwa upishi huu. Nimepika mboga na nyama kufatisha mafunzo yako kilikuwa kitamu sana. Mtoto wangu alisema yummy sijui mara ngapi. Nimepiga picha ntakutumia ila mimi nilitumia cabbage badala ya spinach I can confirm the result was grt.

    ReplyDelete

Tunaheshimu sana maoni yako