Sunday, June 13, 2010

SALAMU ZA SHUKURANI TOKA KWA MDAU KWA MAFANIKIO YA MENU YA WATOTO

NATUMAINI UMZIMA KAKA PAMOJA NA FAMILIA YAKO

NIANZE KWA KUKUSHUKURU KAKA KWA RATIBA YA MTOTO KWA KWELI NI NZURI NIMEWAPIKIA WATOTO WANAFURAHI AJABU NI HAKUNA AMBACHO NIMEPIWAANDALIA KIKAWASHINDA KWA KWELI KWA UPANDE WANGU NAONA IMERAHISISHIA KWANI NANUNUA VITU VYOTE NA KAMA ULIVYOSEMA VINAJIRUDIA KWA HIYO NIMEIPENDA SANA KAKA SINA CHAKUSEMA HATA ASANTE NAONA NI NDOGO NIKUOMBEE KWA MWENYEZI MUNGU AKUPATIE AFYA NJEMA PAMOJA NA FAMILIA YAKO NA MAISHA MAREFU KWANI BILA WEWE HIVI VYOTE NAONA INGEKUWA NI NDOTO KWANGU KUVIJUA.
UBARIKIWE SANA NA SIKU NJEMA MDAU

NASHUKURU SANA DADA YANGU KWA PONGEZI ZAKO NA PIA KWA KUJITAIDI KUWAJALIA WANAO PIA NAWE HONGERA SANA KWA KUWEZA KUTENGENEZA CHAKULA SAFI KWA WATOTO WAKO MWENYEZI MUNGU ATUBARIKI SOTE AMIIN CHEF ISSA



2 comments:

  1. Me naomba nitoe shukrani zangu kwa recipe ya samosa. Nimefata maelekezo yako na hatimaye nimeweza kupika samosa.
    Ubarikiwe sana.

    ReplyDelete
  2. nimependa sana ile recipe ya pasta, nilikua sijawah kula pasta tamu hivi. asante endelea kutupa mapishi mazuri

    ReplyDelete

Tunaheshimu sana maoni yako