Sunday, July 25, 2010

WAPISHI WA MAJUMBANI NA MAHOTELINI NAWAOMBA USHIRIKIANO WA MAWAZO YENU NA USHAURI NI MUHIMU SANA KWA MAENDELEO YA BLOG YETU YA MAFUNZO YA CHAKULA BORA NA SALAMA

WAPENZI WA BLOG YA CHAKULA BORA NA SALAMA NAWAOMBA RADHI KWA KUTOKUWEPO HEWANI KWA WIKI NZIMA.

SABABU YA KWANZA NI MATATIZO YA INTERNET PILI MEMORY CARD YA CAMERA YANGU ILIPATA VIRUS IMEKUFA NA NIMEPOTEZA PICHA ZOOTE SASA NAANZA UPYA NA TUPO PAMOJA.

NAWAOMBA WADAU WOTE MNAOFATILIA MAFUNZO HAYA MTOE MAWAZO NA USHAURI WENU ILI TUSONGE MBELE. NITAFURAHI SANA  SANA KUPATA PICHA ZA MAPISHI MLIOANDAA HATA MOJA TU NA NITAZIWEKA KWENYE BLOG ILI KUHAMASISHA WOTE WAPENDA CHAKULA KIZURI NA SALAMA.

KWA WALE WANAOPENDA KUJUA HISTORIA NA MAFANIKIO YANGU YA MAPISHI ILIPOANZIA NUNUA GAZETI LA BANG UTAPATA HABARI ZANGU NA PIA UTAPATA RECIPE ZA VYAKULA VINGI KWA KILA TOLEO

BINAFSI CHEF ISSA NAPENDA SANA SANA WATOTO, NAPENDA KUFUGA NA KUCHEZA NA MIFUGO AINA YOOTE, NAPENDA KUVUA SAMAKI.



Hapa nilikua nawalisha bata na wamenizoea na ukifika muda huu huwa wansogea hapa wakijua kunarafiki atatuletea chakula.



Hapa na weka sawa mti wangu wa kuvulia samaki nikiw andani ya boti dogo


Hapa nimepata samaki wa 4 nikapiga nae picha na kumrudisha katika maji aendelee kuishi cha kushangaza samaki wa chakula huwa sivui huwa na nunua to sokoni wote nao pata napiga picha na kuwarudisha katika maji waendelee kuishi naona uchungu kweli kukatisha maisha yao.

NAWATAKIA SIKU NA KAZI NJEMA WAPENZI WOTE WA BLOG HII.


4 comments:

  1. Pole sana kaka Issa, duh kila jambo hutokea kwa sababu, kipo kitu Mungu amekuwekea, Inshallah utapata nzuri zaidi ya hizo.

    Inshallah tunajitahidi tupige picha mapishi tukutumie.
    duh itabidi utupe darasa la ufugaji pia.

    kupenda watoto ni baraka kubwa, kwani hao ni sawa na malaika kwa Mungu.

    ReplyDelete
  2. Pole na kazi kaka, nafurahia sana kutembelea blog yako. Naomba utuwekee ingredients and how to make ice cream tunapokuwa nyumbani bila kutumia ice cream machine maana wengine hawana hiyo machine. kazi njema.

    ReplyDelete
  3. Hongera sana Chef issa. Naona unaifurahia summer. Tutajitahidi kutuma picha. Mimi kama kawaida shida yangu ni recipes ambazo ni dairy and gluten free. Ila nadhani hazina wapenzi wengi. Mungu azidi kukuzidishia kaka.

    Mama Jeremiah

    ReplyDelete
  4. KAKA ISSA NASHUKURU SANA KWANI NILIRUDI HOME NIKAKUTUA HAMNA MBOGA YA MAANA KWA JILI YA JIONI, KULIKUA NA NYAMA KIDOGO NA MAHARAGE YA KIPORO. NIKAPATA WAZO LA KUTENGENEZA ULE WALI WAKO WA CARROT ZA KUSAGA - IT WAS GREAT BRO.

    KEEP IT UP

    ReplyDelete

Tunaheshimu sana maoni yako