KWA WALE WOTE MNAOPATA SHIDA YA UWIANO WA VIPIMO NAOMBA MSOME VIZURI VIPIMO HIVI KISHA UTACHAGUA UTUMIE KIPIMO KIPI AMBACHO KWAKO NI RAHISI KUELEWA ILI NAWE UWEZE KUFURAHISA MAFUNZO KWA KUTUMIA VIPIMO SAHIHI.
PIA VYOMBO YA KUTUMIA KUPIMIA CHAKULA AU VIMIMINIKA KAMA MAZIWA NA MAFUTA UNAWEZA KUNUNUA KATIKA DUKA LA VYOMBO VYA NYUMBANI ULIZA JUG LA KUPIMIA AU VIJIKO VYENYE VIPIMO UTAPATA VYA CHUMA NA PLASTIKI KWA BEI NAFUU SANA NA VINAPATIKANA KWA URAHISI SANA KOTE DUNIANI.

1 Kijiko kidogo cha chai ni sawa na 6 mili lita.
1 Kijiko kikubwa cha chakula ni sawa na 17 mili lita.
240 gram ni swa na 280 mili lita.
1 kg = 1,000 g
1/2 kg = 500 g
1/4 kg = 250 g
1/8 kg = 125 g
240 gram = 16 kijiko kikubwa cha chakula
1 Kijiko kikubwa cha chakula = 3 Kijiko kidogo cha chai
6 yai zima = 240 gram
10ute wa yai mweupe = 240 gram
1 ute wa yai wa njano = 2 Kijiko kikubwa cha chakula
12 hadi 14 ute wa njano wa yai = 240 gram
LENGO NI KILA MMOJA WETU AWE SAMBAMBA NA MAFUNZO NA AFURAHIE
LENGO NI KILA MMOJA WETU AWE SAMBAMBA NA MAFUNZO NA AFURAHIE
Kaka ulituahidi utatutumia word document ya mapishi ya snacks za watoto shuleni, mbona kimya?
ReplyDelete