HABARI WAPENZI WOOTE WA BLOG
NAMSHUKURU MUNGU KWA KUFIKA SALAMA MWAKA 2011 INGAWA MWANZO WA MWAKA HUU UMEKUA NA KAZI NA SAFARI NYINGI SANA KIASI NIMESHINDWA KUSOMA NA KUJIBU MAIL WALA KUWEKA POST MPYA
NASHUKURU NIMEFIKA SALAMA NYUMBANI NA NITAWEKA POST MPYA SOON
NAWATAKIA KAZI NA SIKU NJEMA
CHEF ISSA
umetutia wasiwasi sana kimya kingi haya tunangoja mafunzo kaka
ReplyDeletehappy new year
Wishing you a New Year filled with peace, prosperity and happiness
ReplyDeletehappy new year chef...naamini mambo mazuri yanakuja zaidi...napenda sana kupika ila blog yako imenipa mshawasha zaidi....
ReplyDeleteThax bro! U TOO. WE MISSED U MUCH
ReplyDeletethankx sana broda,tunasubiri mapishi.
ReplyDeletemume wangu alifurahia sana vile viazi asante sana.