Tuesday, April 26, 2011

KAA TAYARI KWA RECIPE YAKITAFUNWA HIKI

MAHITAJI

Muda wa kuandaa : 15 dakika
Muda wa kupika : 30 dakika
Muda wa kuloweka : 4 hadi 5 masaa
Mchanganyiko kwajili ya gamba la nje
Black gram dal/ Urad dal – 50 gms (about 1/4 cups)

Mchanganyiko wa kitafunwa kwa ndani
240 gram Bengal gram/Channa dal ( dengu za njano) 
60 gram machicha ya nazi (Fresh grated Coconut)
1 kijiko kidogo cha chai unga wa hiriki (Cardamom powder)
5 gram chumvi
Mafuta kwajili ya kukaangia
JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI






























1 comment:

  1. mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa recipes zako, ila hamu yooote inaisha na inachosha kusubiri maelekezo kwa muda mrefu. Anyways have waited and will keep on waiting for you recipes!

    ReplyDelete

Tunaheshimu sana maoni yako