CONTACT:issakesu@gmail.com,
FACEBOOK.COM / active chef
Tuesday, November 22, 2011
HABARI WAPENZI WA BLOG
NIMEUMWA SANA NDUGU ZANGU KWA MUDA WA SIKU 7 SASA NASHUKURU ALLAH SASA NINANAFUU NA NITAENDELEA NA KAZI KAA TAYARI KWA RECIPE SAFI ZA MWAKA MPYA NA CHRISTIMAS
pole sana chef Issa. Tunazidi kumuomba MUNGU upate nafuu ya haraka. Samahani sionekani au sikuandikii sana kwani mambo yamekuwa mengi na majukumu yameongezeka. Upone haraka uzidi kutuletea maujuzi ya kupika
pole sana mpendwa na tunashukuru umepona kwani hujui tu jinsi unavotusaidia ku-improve maswala ya jikoni kwa ujuzi huu unaotupa bure kabisa kaka ubarikiwe sana na uzidi kushamili kwa roho yako njema
Get well soon but blog yako ina boa kuliko zote nilizowahi kuvist kwani imejaa picha zisizo na maelezo cjui mtu utapikaje bila recipe umekuwa ukiahidi kila mara tunasubiri no changes kuwa up to date bwana na hii si kutokana na kuumwa ni long time unatuboa sana cc wapenzi wako ht hao wanaosifia hawajui wanasifia nn cos huwezi pika kwa macho ukibana poa tu but umeisoma kimyakimya na utaifanyia kazi again get well soon labda utabadilika
Kaka Issa, vipi mambo? je bado waumwa? Xmas na New year imekaribia hakuna kimpya nilitarajiwa kupata kimpya toka kwako....anyway i wish all the best and happy Xmas and Happy New Year too.....Lucy
pole sana chef Issa. Tunazidi kumuomba MUNGU upate nafuu ya haraka.
ReplyDeleteSamahani sionekani au sikuandikii sana kwani mambo yamekuwa mengi na majukumu yameongezeka. Upone haraka uzidi kutuletea maujuzi ya kupika
Pole sana mwenyezi Mungu azidi kukutangulia!
ReplyDeletembona kuna picha tuuu hamna maelekezo it is very hard to understand weka picha pamoja na maelezo tafadhali
ReplyDeletepicha tu bila maelekezo huwezi elewa weka picha na maelezo
ReplyDeletePole sana, na Karibu tena ili utupe mambo mapya na mazuri, tuweze kuelimisha jamii yetu.
ReplyDeletePole sana, na Karibu tena ili utupe mambo mapya na mazuri, tuweze kuelimisha jamii yetu.
ReplyDeletepole sana chef
ReplyDeletePole sana kaka Issa Mungu akutie nguvu.barikiwa sana.
ReplyDeletePole sana kaka, Mungu akurudishie afya yako uendelee na shughuli zako za kila siku.
ReplyDeletepole sana kaka...tunashukuru umepona bwana....
ReplyDeletethanx kwa recipes zako
pole sana mpendwa na tunashukuru umepona kwani hujui tu jinsi unavotusaidia ku-improve maswala ya jikoni kwa ujuzi huu unaotupa bure kabisa kaka
ReplyDeleteubarikiwe sana na uzidi kushamili kwa roho yako njema
tuko pamoja
pole sana jamani.mungu akupe nguvu mpya na afya njema.amen.
ReplyDeletemama l
Pole sana tunashukuru uko salama maana wengine tunapika kwa kupitia kwako
ReplyDeleteGet well soon but blog yako ina boa kuliko zote nilizowahi kuvist kwani imejaa picha zisizo na maelezo cjui mtu utapikaje bila recipe umekuwa ukiahidi kila mara tunasubiri no changes kuwa up to date bwana na hii si kutokana na kuumwa ni long time unatuboa sana cc wapenzi wako ht hao wanaosifia hawajui wanasifia nn cos huwezi pika kwa macho ukibana poa tu but umeisoma kimyakimya na utaifanyia kazi again get well soon labda utabadilika
ReplyDeletePole sana kaka..Mungu akuponye
ReplyDeletepole sana
ReplyDeleteMwenyezi Mungu azidi kukupa shifaa kaka angu.. ila ni kweli kwanini hamna maelezo ni pics tu? sometimes I find hard to understand the recipes...
ReplyDeleteInsha Alah.
ReplyDeletepole sana inshallah Mungu atakuafu
ReplyDeletekaka pole sana, na in shaa Allah utarudi katika hali yako ya kawaida.
ReplyDeleteTweety.
Kaka Issa, vipi mambo? je bado waumwa? Xmas na New year imekaribia hakuna kimpya nilitarajiwa kupata kimpya toka kwako....anyway i wish all the best and happy Xmas and Happy New Year too.....Lucy
ReplyDeletepole sana jamani? thats y nilikua nashangaa umepatwa na nini? sioni post zako.. mungu akutie nguvu kaka yangu..
ReplyDelete