HABARI WAPENZI WA BLOG HII SAFI YA CHAKULA BORA NA SALAMA
NASHUKURU SANA KWA USHIRIKIANO WENU NA MCHANGO WA MAWAZO YENU PAMOJA NA KUA WASOMAJI WAZURI SANA WA BLOG HII.
CHANGAMOTO ZIMEKUA NI NYINGI SANA IKIWA MOJA WAPO NI MUDA WA KUKAA CHINI KUWEKA PICHA NA MAELEZO YA MAFUNZO JINSI YAKUNDAA VYAKULA.
TUOMBE UZIMA MOLA AKIPENDA NITIMIZE NDOTO YANGU YA KUANZA KUWEKA VIDEO HII HAITAKUA NA MASWALI MENGI MAANA KILA MMOJA WENU ATAONA NA MNAKIELEWA KISWAHILI KWA UFASAHA KABISA.
PIA WALE WOTE WALIOJIANDIKISHA KUJIUNGA NA CHAMA CHA WAPISHI TANZANIA KAENI TAYARI KABISA KWA MKUTANO MKUU WA CHAMA PIA TUWEZE KUCHAGUA VIONGOZI NA SHUGHULI ZA CHAMA KUANZA RASMI
KWA NIABA YA ACTIVE CHEF ASSOCIATION OF TANZANIA NA CULINARY CHAMBER BLOG NAWATAKIA MWAKA WA MAFANIKIO NA AFYA NJEMA 2012 MOLA ATULINDE SOTE NA ATUSIKILIZE DUA ZETU SOTE AMIIN
WASALAAM
CHEF ISSA
Nawe pia Kaka. Nakutakia kila la kheri kwenye mwaka huu wa 2012, Inshaallah Mwenyezi Mungu akupe wepesi kwenye kazi zako.
ReplyDeleteAmina... nashukuru..nawe pia Lucy
ReplyDeleteNawe pia kaka kila la kheri in shaa Allah.
ReplyDeleteTweety