HABARI YA SIKU WAPOENZI WA BLOG HII YA CHAKULA BORA NA SALAMA.
RAFIKI YANGU ANATANGAZA NAFASI YA KAZI KWA CHEF ANAEWEZA KUPIKA CONTINENTAL CUISIN MSHAHARA MZURI TUNA CV NA BARUA YA MAOMBI KWA EMAIL HII
active.chef@yahoo.com, MAHALI NI MTWARA JIKO LINAVIFAA VYA KISASA SANA, MWISHO WA MAOMBI NI TAREHE 25/8/2012
NAWATAKIA SIKU NJEMA.
CHEF ISSA
Mkuu inabidi uweke vigezo ambavyo vinahitajika huyo mpishi awe navyo pamoja na tarehe ya mwisho ya kutuma maombi. Mimi nataka nikusaidie kutangaza hii nafasi ya kazi lakini itashindikana kama haitokuwa na maelezo mazuri. Pia ueleze huyo mtu yuko wapi
ReplyDelete