NIMEFUNGUA PAGE YA FACE BOOK ... inaitwa ...... Active Chef
WEWE NI MPENZI WA BLOG HII YA CHAKULA SAFI NA SALAMA NAKUOMBA CLICK HIYO LINK HAPO CHINI KISHA ITAFUNGUKA NA UNAWEZA KUJIUNGA KWA KU CLICK LIKE KATIKA UKURASA HUO ILI UWEZE KUENDELEA KUPATA RECIPE NA MATUKIO MUHIMU YAHUSUYO CHAKULA

http://www.facebook.com/pages/Active-chef/509561519067534#!/pages/Active-chef/509561519067534
BAADA YA KU LIKE UTAWEZA ONA PICHA MUHIMU NA RECIPE ZA RESTAURANT MPYA YA ACTIVE CHEF ILIYOFUNGULIWA NYUMBANI TANZANIA
Huu ni muonekano wakati wa usiku
BAADA YA KU LIKE UTAWEZA ONA PICHA MUHIMU NA RECIPE ZA RESTAURANT MPYA YA ACTIVE CHEF ILIYOFUNGULIWA NYUMBANI TANZANIA
Hapa iliku bado restaurant inatengenezwa
Mpangilio wa sauce na salad na nyama za tayari kwa kuchoma
Tunachoma samaki maarufu sana aina ya changu mwekundu na mweupe huwezi amini dakika saba tu chakula kipo mezani na ameivaa saafi
Huu ni muonekano wakati wa usiku
VIDEO HII NIMETUMIWA NA JAMAA MMOJA ALIETEMBELEA RESTAURANT NA KUFURAHIA SANA BBQ
JE WADAU MNADHANI RESTAURANT HII IPO MJI NA MAENEO GANI? MSHINDI WA KWANZA BBQ BUREEEEE!!!!
WASALAAM CHEF ISSA
Chef Issa!
ReplyDeleteTumeuliza wee kule facebook hatupewi jibu. Can you please give out details za restaurant yako? I personally am dying to taste your food!!
Please please, tuwekee details za restaurant yako!
Thankss
Restaurant ipo wapi?
ReplyDeletenahisi zanzibar ila sijui eneo gani
ReplyDeleteSis V
ReplyDeleteIssa hii ipo Mtwara. @ DLH
ipo Mtwara!!
ReplyDeletenahisi ipo chalinze
ReplyDeleteAunt R.
mbona hujibu chef?restaurant iko wapi si hatutaki uo ushindi twataka msosi tu basi tuje tule
ReplyDeletesasa tuna kila sababu ya kutembelea MTWARA kwasie tusiowahi fika uko msosi maridadi sana kaka
ReplyDeletebarikiwa