Thursday, January 10, 2013

JIFUNZE KUPIKA PILAU YA NYAMA YA MBUZI

 
 
JIFUNZE KUPIKA PILAU YA NYAMA YA MBUZI NI RAHISI NAFUU NA NI TAMU SANA
 
MAHITAJI
 
 
FATILIA VIDEO NA MAELEZO JISNI YA KUPIKA HAPO CHINI
 

HII NI VIDEO YA KWANZA
 
 
HII NI VIDEO YA PILI
 
 
 
HII NI VIDEO YA TATU NA YA MWISHO

UKITAKA KUENJOY ZAIDI FUNGUA FACEBOOK PAGE KWA KU CLICK HII LINK http://www.facebook.com/pages/Active-chef/509561519067534 KISHA CLICK LIKE NA UTAKUA MWANACHAMA UTAWEZA PATA HABARI ZOTE ZINAZOHUSU MAPISHI NA PIA MAPISHI MAPYA.
 


4 comments:

  1. looh nimekupenda bure uwiiiii,sexy chef!

    thiz days napika kutokana na maelekezo ya mapishi yako tokea umu sema tu mda wa kutuma posts za mapishi ndo unabana.
    mbona asanteee?

    ReplyDelete
  2. mmh natamani nipate mume kama wewe.ungekuwa mume wangu,ningefanya kazi nyengine zote za ndani,mambo ya kupika ningekuachia wewe.mke wako anafaidi

    ReplyDelete
  3. yani Chef Issa mimi nilikuwa sijui kupika vizuri na pika malunya tuu. basi nilipika siku moja nyama ya kukaanga na mbogamboga. nikamwita rafiki yangu dinna yani alicheka mpka alikaa chini eti ehe! mwalimu gani kapita.yani aliona bonge la surprise mimi kupika chakula kitamu maana yeye ndio kila siku mpikaji, Thanks a lot Bro, tuambie na sisi watu wa euro pakupata iyo chumvi au mpka nyumbani
    mdau wako A.Maganga

    ReplyDelete
  4. hizi video wengine hatuzioni please ungeendelea na ule utaratibu wa picha ingetusaidia zaidi. asante.

    ReplyDelete

Tunaheshimu sana maoni yako