KAA TAYARI KWA RECIPE SAFI KABISA MUDA SI MREFU
MAHITAJI
250 gram dengu kavu au Chickpeas,
1 kijiko kidogo cha chai mafuta ya kupikia
1 Bay Leaf sio lazima ni kwajili ya harufu
1/2 kijiko kidogo cha chai mchanganyiko wa unga wa Cumin na Coriander
1/2 kijiko kidogo cha chai Pili pili nyekundu ya unga
5 gram chumvi
5 gram pili pili manga
JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI
Muda wa maandalizi : Masaa 4 hadi 8
Muda wa mapishi : Dakika 30 hadi saa 1
Idadi ya walaji : Watu 4
Baada ya kuiva ujazo : 500 gram
mbona hakuna maelezo,hizo dengu zinalowekwa au zinachemshwa,kwa muda gani?
ReplyDelete