Wednesday, March 5, 2014

HOTEL VICTORIA NOW OPEN KWANGUVU ZOOOTE

NILIONDOKA ULAYA TAR 31/2013 NAKUFIKA NYUMBANI TANZANIA TAR 1/2014 MOJA KWAMOJA NILIKUA BUSY SANA KUKAMILISHA UJENZI WA HOTEL VICTORIA MTWANA MNAMO TAR 14/2/2014 SIKU YA VALENTINE TULIFUNGUA RASMI HOTEL POKEA PICHA HIZI BAADHI ZA MATUKIO MWAMBIE NDUGU AU RAFIKI SEHEMU BORA YA MALAZI NA CHAKULA NI HOTEL VICTORIA MTWARA