NILIONDOKA ULAYA TAR 31/2013 NAKUFIKA NYUMBANI TANZANIA TAR 1/2014 MOJA KWAMOJA NILIKUA BUSY SANA KUKAMILISHA UJENZI WA HOTEL VICTORIA MTWANA MNAMO TAR 14/2/2014 SIKU YA VALENTINE TULIFUNGUA RASMI HOTEL POKEA PICHA HIZI BAADHI ZA MATUKIO MWAMBIE NDUGU AU RAFIKI SEHEMU BORA YA MALAZI NA CHAKULA NI HOTEL VICTORIA MTWARA
BIG UP BROTHER, ALL THE BEST IN FUTURE SO HAPPY FOR U.
ReplyDeleteHongera sana Chef Issa. Nakutakia mafaniki. Natamani kufika unipikie chakula hapo, I can only imagine the taste of the food.
ReplyDeleteSwali: Ndo umerudi moja kwa moja?
Nice, Big up
ReplyDeleteDah safi sana hii haijawahi kutokea mtwara tumezoe zile zetu sasa hii kubwa lake. hongera sana team mzima ya victoria hotel.....
ReplyDeleteI need direction and contact please where is located? mtwara is big
ReplyDeletemie ni mdau wako na sijawahi comment anything ila kwa ufunguzi huu you are brilliant, big up
ReplyDeleteHongera sna
ReplyDeleteHongera sana kaka,mimi pia nimpishi kwasasa nipo chuo nachukuwa diploma ya culinary art natamani niwe kama wewe,
ReplyDelete