Tuesday, December 29, 2009

MAMBO YA KUCHONGA CHONGA MBOGA NA MATUNDA YATAKUWEPO



Wapenzi wa sanaa ya kuchonga chonga mboga na matunda watapa wasaha wa kufundisha na kujifunza zaidi mbinu mbali mbali za kuchonga maumbo mabli mbali kwa utaalamu zaidi ama kweli sasa fani itanoga kazi kwenu wataalamu wadau wanahitaji utaalamu wenu karibuni jamvini tubadilishane utaalamu.

15 comments:

  1. Introduction uliyo anza nayo inaonyesha wewe ni professional chef hasa, Nakutakia kila la kheri katika juhudi zako za kutaka kuelimisha jamii, lakini pia napenda kukumbusha kuwa unatakiwa uwe very jasiri maana kuna watu wanaweza kukukatisha tamaa kwa kupost comment za kipuuzi, lakini pia sisi wengine tunachukulia kama ni opportunity ya kujifunza mapishi na mambo mengine yahusiyo misosi n.k

    ReplyDelete
  2. Chef Issa hapa mi ndio napasubiri sana kwa hamu maana hayo mambo adimu mzee

    ReplyDelete
  3. Hapa ndio itakua mahala pake lete vituzi

    ReplyDelete
  4. Vifaa usivisahau hapa ni muhimu sana lakini naimani utaweka mambo safi kabisa maana naona tu mzee speed uliyoanza nayo ni yakufa mtu

    ReplyDelete
  5. Aisee mbona ulikata simu,bado nilikuwa sijajua naongea na nani. Baadae nikaambiwa ulikuwa wewe nikasikitika.Usichoke,piga tuongee deals..

    ReplyDelete
  6. mdau unaetaka nikupigie tafadhali niandikie ujumbe unaotaka nikuelekeze katika email issakesu@gmail.com nitakujibu vizuri tu na utaridhika happy new year!! chef Issa

    ReplyDelete
  7. hongera sana,natumai umeamua uamuzi wa busara sana,tuko pamoja

    ReplyDelete
  8. MUNGU ATAKUBARIKI MAANA NAJUA UMEIPATA ELIMU YAKO KWA GHARAMA NA UMEAMUA KUITOA KWA JAMII BURE HUO NDIO UZALENDO. HAPPY NEW YEAR

    DOUBLE M

    ReplyDelete
  9. Congratulations. I have seen you work before and I have known you have the talent to inspire and you have always wanted to study and reach the stars. I guess have now taken your first baby stebs and i beleive you will acheive dreams and go far in live Mr Mohamed Nur MD

    ReplyDelete
  10. Hapa patamu. Shusha mambo.hata sie wavivu wa kupika hamu itakuja,kwani naona ni mambo mapya.
    Hongera.
    mama nanihii

    ReplyDelete
  11. Thats nice men..but whats i want men..its about Food presentation on the Plate-(Like lunch palted or Dinner Plated, sit down dinner n so on)- Its me young men Ramadhani Haruna a.k.a pac form Dar City am working at Paradise city Hotel in Benjamin Mkapa Pension Tower as a Executive chef.Keep it real boi!!!!!

    ReplyDelete
  12. Chef Ramadhani nimekupata nashukuru sana kwa kujitokeza kwako yote hayo utayapata kama nilivyosema nahitaji ushirikiano wenu machef pia nahitaji maoni yenu ili nijue nini hasa tuanze nacho ila kila kitu kitakuwepo nashukuru na nimefurahi sana presentation za chakula utazion sana kaka be happy pia hongera sana kwa kua Executive chef tafadhali na machef wengune jitokezeni jamani tufanye kazi pamoja. Chef Issa

    ReplyDelete
  13. Mzee wa Sumu,congrats mtu wangu am so happy for you. Hizo sumu si mchezo please keep it up! You are a star please keep on shinning we all need the light!

    Catherine from Kipepeo Dar..

    ReplyDelete
  14. 1.nipe tips za vitu vya cocktail party,,,nini hasa kinatakiwa?
    2.nataka fanya party ndogo nyumbani yenye marafiki tu wa karibu,nataka vitu vya kuandaa/kupika apo home mwenyewe ni vipi na nifanyeje?

    si wajua maisha yetu tuna vifaa vya kawaida tu kupikia...

    asante kwa elimu

    ReplyDelete

Tunaheshimu sana maoni yako