Tuesday, January 19, 2010

WAPENZI WA BLOG YETU YA CHAKULA

NIMEKUA KIMYA KWA MUDA NILIKUA NAJIBU MAIL NYINGI SANA ZA MASWALI NA NYINGINE ZA MAOMBI YA RECIPE BINAFSI KWAJILI YA MAPISHI YA NYUMBANI KWAHIYO ILIKUA NI NGUMU KWELI KUANDAA NA KUWEKA RECIPE KATIKA BLOG YETU NAIMANI WOTE WALIONITUMIA MAIL WAMEPATA RECIPE HIZO NA WAMEZIFANYIA KAZI SASA TUNAENDELEA NA MAFUNZO

1 comment:

  1. hi,
    nimejaribu kutengeneza ndege wangu nikituko but at least nimepata kidogo.

    Guys u should try this is fun am telling u.

    ReplyDelete

Tunaheshimu sana maoni yako