KUTOKANA NA MAOMBI MENGI SANA YA WAPENZI WA BLOG HII YA CHAKULA SAFI NA SALAMA KWASASA NAANDA RATIBA NA MAELEZO MUHIMU YA CHAKULA KITAKACHOKUSAIDIA KUPUNGUZA UZITO, KITAMBI NA KUFANYA UWEZE KUDHIBITI UZITO WA MWILI WAKO KWA NJIA RAHISI NA GHARAMA NAFUU NA UKAFURAHIA BILA KUONA TOFAUTI KUBWA YA CHAKULA ULICHOKUA UNAKULA KAA TAYARI KWA SOMO HILI SAFI KABISA.
Chef Issa Hapo ndo napasubiria kwa hamu kubwa.
ReplyDeleteHilda
Yaani, naisubiria kwa hamu kaka. Maana wengine uzito kwetu ni tatizo. I need to loose at least 10 kgs. Nisaidie kaka
ReplyDeleteChef Issa kwa kweli nasimangwa sana na unene ebu tusaidie! bwana kuniacha haniacha lakini cha moto nitakiona
ReplyDeleteTUNASUBIRI KWA HAM KAKA MAANA WENGI NI WAATHIRIKA WA UNENE! TUPE RATIBA HIYO TUPUNGUZE VITAMBI
ReplyDelete