Sunday, March 14, 2010

SHUKURANI KWA WAPENZI WA BLOG YA CHAKULA SAFI NA SALAMA

NAWASHUKURU SANA WAPENZI WAFUATILIAJI WA MAFUNZO YA CHAKULA SAFI NA SALAMA KWA MAONI YENU, MASWALI  NA USHAURI SAFI SANA KUPITIA MAONI KATIKA BLOG NA WENGINE MNAONIANDIKIA KUPITIA EMAIL YANGU issakesu@gmail.com

NAJITAIDI KUMJIBU KILA MTU KWA WAKATI MUAFAKA INGWA MUDA MWINGINE NAKUA NIMEBANWA LAKINI LAZIMA NIMJIBU KILA MTU NAFURAHI KUONA WOTE MNAFANIKIWA NA MNAFURAHIA MAFUNZO VYAKULA VINGI NI RAHISI KUPIKA KWA MTU YEYOTE NA AINA YA MAHITAJI NAJITAIDI KUANDIKA VITU VYOTE AMBAVYO VINAPATIKANA KATIKA MADUKA NYUMBANI HATA NJE.

 MAJINA YA VYAKULA VINGINE HAYANA KISWAHILI CHAKE UKIENDA KATIKA DUKA LOLOTE LA CHAKULA UTAPATA KWA URAHISI SANA NA NI NAFUU. WAPENZI WA SUPU NA JUISI SASA NI ZAMU YENU ZITAKUJA AINA NYINGI SANA SANA NA MTAFURAHI JINSI YA KUPAMBA NA KUANDAA.

2 comments:

  1. Hongera kwa kazi nzuri na mafunzo unayotupatia, mimi nilikuwa naomba kujua mapishi ya prawns especially crisp prawns.
    Thanks!!!

    ReplyDelete
  2. Asante sana, shukrani hizi zirudi kwako kwa kweli umetufungua mawazo saana, mungu akupe maisha marefu

    ReplyDelete

Tunaheshimu sana maoni yako