Monday, March 8, 2010

TAFSIRI YA MANENO KAMA WALIVYOULIZA WAPENZI WA BLOG HII

Nanya ya kopo ni - Tomato pest

Chick peas ni - Jegere kavu

Mozarella cheese ni - Cheese laini kwa rangi ni nyeupe pia hupatikana maduka yeyote ya chakula na bidhaa zitokanazo na maziwa utapata kwa urahisi sana sifahamu jina lingine kwa kiswahili

No comments:

Post a Comment

Tunaheshimu sana maoni yako