WAPENZI WA BLOG YA CHAKULA SAFI NA SALAMA
NDUGU ZANGU NAOMBA MNIPE MAJIBU YA MAFUNZO NAYOTOA MNAPOPIKA NYUMBANI CHAKULA KINAONEKANA VIPI NA LADHA INAKULA NZURI PIA MLIOTUMIA DAA YA MAFUA MMEPONA? MLIOTUMIA NJIA YA KUMFANYA MTOTO ASIEPENDA KULA JE WAMEBADILIKA WATOTO? NASUBIRI MAJIBU YENU
Kwakweli huwa kinakuwa kizuri sana!Japo sio kama kinavyoonekana hapo kwenye picha unazotuwekea,sometimes nazidisha vipimo,sometimes naunguza kidogo ila kiukweli kinakuwa bomba sana!!! mimi binafsi huwa naingia humu kwenye blog kila siku mara mbili asubuhi na jioni kuangalia new update na kuona kama ninaweza kupika dish of the day nyumbani kwangu.
ReplyDeleteMimi nilisifiwa sana jpili nilipika biriani kwa mafunzo yako nilikuwa na wageni, wakaniomba recipe, hahahaaaa nimedesa kwako kwa kuwa sio watz. hawajui kiswahili. Asante sana tuko pamoja
ReplyDeleteBlog ni nzuru sana.Binafsi naitembelea kila siku ninapokuwa kwenye internet.Nzuri kaka,keep it up
ReplyDeleteso far nilijaribu maandazi na chapati na nilijitahidi sana kwa kweli, navuta pumzi ili nipike biriani sasa. utuletee na vyakula vya kiitaliano kama lasgna na pasta kwa ujumla!!tks
ReplyDeleteMambo mazuri, unahisi kabisa watu wanafurahia kukaa mezani.
ReplyDeleteSi unajua watoto wanavyopenda vyakula vya Tunu?
Asante kaka.
disminder.