BEEF TARTARE
MAHITAJI
1 kilo nyama ya kusaga
200 gram matango machanga ya kopo ( Ghekins)
100 garm kitunguu maji chochop
50 gram tomato pest
50 gram tomato ketchup
100 gram vinegar ( siki)
50 gram soya sauce
50 gram tabasco sauce
30 gram chumvi
40 gram mafuta ya mahindi
100 gram oyster sauce
200 gram red wine / brand
Changanya mchanganyiko wote kwa pamoja kisha weka katika sahani kwa shepu nzuri kama inavyoonekana kwenye picha kisha mpatie mlaji ale ilkiwa ya baridi pamoja na mkate wa aina yeyote ule.
Nyama hii uliwa ikiwa mbichi na huambatana na redwine ili isaidie kuipika tumboni ni nzuri sana ila inataka moyo kama hujawahi kuila.

No comments:
Post a Comment
Tunaheshimu sana maoni yako