UBUNIFU WA KUPAMBA CHAKULA KATIKA MUONEKANO WA KIPEKEE INASAIDIA SANA KUONGEZA HAMASA KWA MLAJI HATA KAMA CHAKULA HAKIKUA NA LADHA SAFI MLAJI ANARIDHIKA KWANZA KABLA YA KUKIONJA
Huu ni muonekano wa bata wa kuchonga kwa kutumia tunda nanasi safi sana pamba mezani na mwisho wa chakula unaweza kula kama kikata hamu na familia yako
Ni rahisi sana jinsi ya kuchonga katika muonekano huu
Hii ni keki nzuri kabisa ya vanilla cream na karanga
Pamba vizuri sahani zako hata kama unawageni 100 uhuru wa kila mtu kula kwa sahani yake ikiwa imepambwa inapendeza sana sana
Kata matunda na panga sahani kubwa kwa mtindo huu ikiwa unafamilia kubwa au unawageni nyumbani kila mmoja atachukua aina ya tunda analopenda kutokana na mvuto wa mpangilio
Si kazi ngumu kukata na kupamba sahani ya matunda hakuna kizuri kisicho na juhudi kikubwa ni wewe kupenda kuhudumia chakula chenye muonekano thabiti.
WASANGAZE FAMILIA YAKO KWA KUPAMBA SAFI CHAKULA CHAKO NAWATAKIA WEEKEND NJEMA
KWA UREMBO HUO? NTANG'ATWA MIMI KABLA YA CHAKULA.
ReplyDeleteINAPENDEZA SANA KAKA
uko juu kaka!
ReplyDeletehongera kaka kwa uhodari wa ubunifu kipaji unacho. safi sana!!!!!
ReplyDeletewee kiboko
ReplyDeletenakuombea dua ufike mbali sana kimataifa kwa ujuzi wako ktk mapishi