NASHUKURU SANA WAPENZI WOTE WAA BLOG HII KWA DUA ZENU NA SALAMU NZURI SANA SANA KWA KUADHIMISHA SIKU YANGU YA KUZALIWA MWENYEZI MUNGU ANATULINDA TUNAENDELEZA DARASA LA MAPISHI KWA FURAHA
31 / 07 YA KILA MWAKA NI SIKU NZURI SANA KWANGU NAMSHUKU SANA MWENYEZI MUNGU KWA KUNIJALIA AFYA NJEMA, NGUVU, ELIMU NA UJUZI ILI NIWEZE KUKIMU MAISHA KWA KUJITAFUTIA NA KUSHIRIKIANA VIZURI NA KILA MTU.
31 / 07 YA KILA MWAKA NI SIKU NZURI SANA KWANGU NAMSHUKU SANA MWENYEZI MUNGU KWA KUNIJALIA AFYA NJEMA, NGUVU, ELIMU NA UJUZI ILI NIWEZE KUKIMU MAISHA KWA KUJITAFUTIA NA KUSHIRIKIANA VIZURI NA KILA MTU.
TOKA NILIPOZALIWA MPAKA LEO NIMEWEZA KUA NA MARAFIKI WENGI SANA SANA HII YOTE NI SHULE NZURI NILIYOPATA KATIKA MALEZI YA WAZAZI WANGU WAPENDWA MUNGU AWAJALIE MAISHA MAREFU YENYE FURAHA NA AMANI.
MKE WANGU, MTOTO WANGU, NDUGU ZANGU NA RAFIKI ZANGU WOOTE NAWAPENDA SANA NA NINASHUKURU KWA KILA KITU.
WASALAAM CHEF ISSA
kaka Issa Hongera kwa sikuya kuzaliwa.
ReplyDeleteHappy B'day chef Issa!have a wondeful day!!
ReplyDeleteooh!happy birthday chef issa.
ReplyDeletehappy birthday kaka Issa, Mwenyezi Mungu akuzidishie umri na afya njema.
ReplyDeletehappy birthday chef.be blessed always
ReplyDeletehappy birthday
ReplyDeletewow! happy birthday chef.wish u all the best
ReplyDeleteHappy B,day chef wetu, mungu akulinde uzidi kutulitea mambo ya mapishi. ubarikiwe afya njema.
ReplyDeletehappy birthday mungu akupe umri na afya
ReplyDeletelove you bro
happy birthday to youuuuu
ReplyDeletehappy birthday,mungu hakupe maisha marefu yenye afya njema na mafanikio.
ReplyDeleteHappy birthday Chef. i really love your blog and i find it supper helpful.....asante kwa kunifundisha chapati..God bless you n give you more yearts in your life
ReplyDeleteHappy Birthday Issa, wish u all the happiest moment in your life, May God Bless You
ReplyDeleteHAPPY BIRTHDAY MWANA LEO MWENZANGU. WATU WA LEO WANAPENDA SANA KUPIKA NA WANAPENDA WATU NA NI WACHESHI. I WISH YOU LIVE TO BLOW 100 CANDLES.
ReplyDeletehappy belated bday chief. Mungu akatimize yote uyatakayo katika maisha yako
ReplyDeletehappy birthday brodaz
ReplyDeletemungu akutangalie katika mambo yako yote unayotaka kuyatimiza inshaallah.
hongera baba mungu akuweke
ReplyDeleteHongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa. Tunazidi kumuomba Mwenyezi Mungu akuzidishie miaka mingi zaidi. Hongera sana.
ReplyDeleteHongera sana Chef, Mungu akuzidishie maisha marefu ili uendelee kutusaidia kuimarisha afya za familia zetu.
ReplyDeletejamani my brother CHEF ISSA Pole kwa kutokuwish UA BTH DAY kumbe mie na wewe tumezaliwa siku moja thats why namie najua kupika ha ha ha ha ha ha,!hata mie nimezaliwa 31/7/1985 big up my brother MUNGU AKITUWEKA SALAMA INSHA ALLAH NEXT YEAR NTAKUWA THE FIRST PERSON KUKUWISH HAV Agud day,zaytun m
ReplyDeleteHAPPY BELATED BIRTHDAY BROTHER.
ReplyDeleteALLAH AKUZIDISHIE AFYA, UMRI MREFU INSHALLAH, AMANI NA UPENDO NA INSHALLAH KILA JEMA KWAKO LITIMIE NA MAOVU YAKUEPUKE KWA REHMA ZAKE.
AMEN
Happy Birthday kaka ISSA.
ReplyDeletelove from.
jackie.
Mimi wa mwisho kukuwish. mungu akupe maisha marefu yenye afya tele.
ReplyDeletehappy bday master chef
ReplyDelete