Monday, November 1, 2010

HUU NI UKURASA MAALUMU KWAJILI YA PICHA ZA MAPISHI TOKA KWA WAPENZI WA BLOG HII


HABARI WAPENZI WOTE WA BLOG HII YA CHAKULA BORA NA SALAMA, UKURASA HUU NI MAALUMU KWENU WAFATILIAJI WA MAFUNZO HAYA YA MAPISHI NAOMBA MNITUMIE PICHA ZA MAPISHI YOYOTE YALE ULIYOJIFUNZA HAPA ILI IWE CHANGAMOTO KWA WWNGINE NA PIA UNAPATA NAFASI YA KUONYESHA UJUZI WAKO NITAFURAHI SANA KUPATA PICHA MBALI MBALI ZA VYAKULA.


Mwisho wa juma ni mapumziko na mafilia hupata wasaa wa kua pamoja na kufurahia mapumziko ya mwisho wa wiki kwa kupata chakula safi mama Jeremiah na familia yake wapita blog na kuangalia wapike nini kisha wakaamua kupika chakula hicho katika piacha hapo chini mhhhhhhhh yamy!! yamy!!! natamani ningekuwepo nami nifaidi utalaamu huu wa mapishi. Asante sana mama Jeremiah na familia yako kwa picha nzuri sana.



Hapa sasa ni nyumbani kabisa naona kitumbua kimekua na rangi safi kabisa ya kiwango



 Huu ni muonekano wa maandazi


Huu ni muonekano wa pilau la nyama , brocolli na chapati meza ilikua umeenea mhhhh

NASUBIRI PICHA KUTOKA KWENU

TUMA KWA issakesu@gmail.com



2 comments:

  1. Bro unatukumbusha mbali sana mola kakupa kipaji kizuri cha upisi, maana vitumbua na maandazi yanavyongaa hapo mpaka denda linanitoka yani.

    ReplyDelete
  2. nitumie anwani ipi,kukutumia kile nilichotengeneza kwa msaada wa blog hii??
    nina picha

    ReplyDelete

Tunaheshimu sana maoni yako