kwa kweli ninafaidika sana na mapishi yako.Mume wangu anapenda sana kula hivyo nimepanda grade kutokana na mapishi yako. Sasa huu utundu wa kutengeneza picha za matunda imetia fora. Kazi njema.
hongera sana kaka iskwa ubunifu wako yaan inafurahisha sana, nimejifunza mengi sana, hilo tikiti mpaka natamani kutokulila nikae nalitazama tu.......safiiiiiii
Kaka nakupongeza sana kwa darasa unalotupa hapa, natamani kurudi shule nikasome mapishi. wengine kama tulienda shule bila kujua tunataka nini!
ReplyDeletekwa kweli ninafaidika sana na mapishi yako.Mume wangu anapenda sana kula hivyo nimepanda grade kutokana na mapishi yako. Sasa huu utundu wa kutengeneza picha za matunda imetia fora. Kazi njema.
ReplyDeleteHongera sna kwa kutupa darasa la bure. Mungu akujalie uendelee na moyo huo huo!
ReplyDeleteTwasubiri maujuzi haya kaka.
hongera sana kaka iskwa ubunifu wako yaan inafurahisha sana, nimejifunza mengi sana, hilo tikiti mpaka natamani kutokulila nikae nalitazama tu.......safiiiiiii
ReplyDelete