SAMAHANI SANA WAPENZI WOTE WA BLOG KWA KUTOKUA NA MAWASILIANAO YEYOTE KATIKA BLOG KWA WIKI MBILI SASA.
HAPA NILIPO KWASASA NI KIJIJINI INTERNET ILINISUMBUA SANA NASHUKURU SASA IPO SAFI NA NITAENDELEA KUTOA MAFUNZA KAMA KAWAIDA. KAENI TAYARI KUPATA RECIPE NYINGI NA NZURI HASA WAKATI HUU WA SIKUKUU YA KUFUNGA MWAKA.
MOLA AJALIAPO SALAMA NITAKUA DAR ES SALAAM TAR 1/1/2010 MCHANA NA NITAONDOKA DAR ES SALAAM TAR 4/1/2011 KWA WALE WOTE WATAKAO KUA NA MASWALI KUHUSU CHAKULA TUNAWEZA KUWASILIANA KWA SIMU NAMBA NITAIWEKA TAR 28/12/2010.
"SURPRISE SURPRISE"
NAOMBA MBASHIRI NI TUKIO GANI MUHIMU LITAJIRI HAPA KATIKA BLOG HII KATIKA SIKU 10 ZINAZOKUJA? ZAWADI SAFI SANA ATAPATIWA MSHINDI WA KWANZA KUBASHIRI. TUMA MAONI HAPA HAPA KATIKA BLOG ILI WATU WOTE WAONE ISIJE KUA LAWAMA NIMEMPENDELEA MTU NA ANDIKA JINA LAKO BAADA YA KUTOA JIBU SAHIHI MPAKA SASA MSHINDI HAJAPATIKANA.
NAWATAKIA SIKU NA KAZI NJEMA
CHEF ISSA
Mimi nahisi utatuwekes recipes mpya na mafunzo kutoka huko ulipokuwepo.
ReplyDeletePia blog yetu itakuwa "bombi zaidi".
Unatimiza mwaka toka kuanzisha blog hii.
ReplyDeleteNabashiri utaanza kutuwekea video clips za mapishi yako
ReplyDeleteTarehe 29.12.2009 blog hii ya Culinary chamber ilianzishwa hivyo tar 29.12.2010 inatimiza mwaka 1 i hope me ndio wa kwanza me mdau wako Arusha.
ReplyDeletemapishi ya kiafrika toka kijijini kwenu. Lucy
ReplyDeletenabashiri kuwa utatupatia mapishi ya kienyeji toka kijijini kwenu. Lucy
ReplyDeletehabari,
ReplyDeleteningependa kubashiri nini kinafuta ila kwa maoni kwanini tusikutumie kwenye email address yako instead of MAONI? ni swali na mtazamo tuu
TUKIO MUHIMU LITAKALO JIRI KATIKA BLOG YAKO KATIKA SIKU 10 ZIJAZO NI KUTIMIZA MWAKA 1 TANGU KUAZISHWA KWA BLOG YA CULINARY CHAMBER TAREHE 31/12/2009.
ReplyDeleteNATITWA JANE J. MUSUNGA
E.MAIL janejos2003@yahoo.com
TEL: 0655777944
Hi Kaka. I think it will be THE 2ND ANNIVERSARY DAY toka Blog hii kuanzishwa.
ReplyDeleteTukio litakalo jiri ni kubadilisha muonekano wa blog na kupata sponsor wa blog
ReplyDeleteChristine Chipaga
Mapochopocho ya chrismass tunatarajia kuona simple bufee which is affordable to everyone - Mama wolfgang
ReplyDeleteNarudia tena kutuma comment kuwa blogu ya culinery chamber ilianzishwa tar 19.12.2009 so imetimiza mwaka mmoja jn nilitoa comment hujaitoa till to day me mdau wako Arusha
ReplyDeleteunaoa nini kaka! ahahahaaaa
ReplyDeleteSuprise ni kwamba Cheif Issa anaoa na siku ya harusi yake yeye ndo atakayeongoza wakati chakula kinapikwa
ReplyDeleteutaweka receip ya chakula cha safi cha christmas yaani Turkey...mdau Coventry..UK
ReplyDeleteHarusi yako kaka
ReplyDeleteKijitonyama
mimi natabiri kuwa unatarajia kuoa na upo hapo kijijini kukamilisha taratibu za ndoa kwa pande zote mbili
ReplyDeleteONE YR YABLOG HII PIA MAPISHI SPECIAL YA SIKUKUU
ReplyDeleteJamani cheff Issa kashaoa na alishatuwekea picha yake na mwanae hapa kwenye blogu wakati alipotoa recipe kuhusu watoto wasiopenda kula
ReplyDeleteShule/Kituo chako cha Mafunzo ya Mapishi kwa wale ambao watapenda kujifunza kwa vitendo....
ReplyDeleteLucy John
lulumbu@yahoo.com
utambulisho wa mtoto wako aliyezaliwa hivi karibuni
ReplyDeletelulumbu@yahoo.com
Hi Chief,
ReplyDeletemie nabashiri Blog inatimiza mwaka mmoja tangu kuanzishwa.
By Pia Joe, DSM
utatufungua face book kuhusu mapishi,umetayarisha kitabu cha mapishi,utatuwekea mashindano ya mapishi kwa sie wanafunzi wako.
ReplyDelete'
Utakuwa unaweka video za mapishi
ReplyDelete