Tuesday, April 26, 2011

KAA TAYARI KWA RECIPE YAKITAFUNWA HIKI

MAHITAJI

Muda wa kuandaa : 15 dakika
Muda wa kupika : 30 dakika
Muda wa kuloweka : 4 hadi 5 masaa
Mchanganyiko kwajili ya gamba la nje
Black gram dal/ Urad dal – 50 gms (about 1/4 cups)

Mchanganyiko wa kitafunwa kwa ndani
240 gram Bengal gram/Channa dal ( dengu za njano) 
60 gram machicha ya nazi (Fresh grated Coconut)
1 kijiko kidogo cha chai unga wa hiriki (Cardamom powder)
5 gram chumvi
Mafuta kwajili ya kukaangia
JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI






























KAA TAYARI KWA RECIPE

MAHITAJI

80 gram wali mkavu (short grained rice)

30 gram ya mchele uliochemshwa nusu
240 gram za dengu za njano (pigeon peas)
60 gram za dengu (bengal gram)
60 gram za choroko (black gram)
2 pilipili nyekundu zilizokauka 
120 gram ya korosho za kukaushwa
60 gram ya machicha ya nazi ( grated coconut)
5gram chumvi
4 majani ya curry

JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI























Monday, April 18, 2011

JIFUNZE KUTENGENEZA KINYWAJI HIKI KIZITO CHA MAEMBE


UTEGENEZAJI WAKE NI RAHISI SANA NA NI NAFUU HUJULIKANA MAARUFU KAMA
MILK SHAKE YA MAEMBE NI TAMU SANA NA HUPENDWA NA WATU WA LIKA ZOTE

MAHITAJI



Kinywaji hiki kinatosha watu wawili kwa kutumia vipimo hivi
3  maembe makubwa
1/2 kijiko kidogo cha chai unga wa hiriki cardamom powder (weka kidogo kidogo kulingana na ladha)
2 kijiko kikubwa cha chakula sukari (Weka kidogo kidogo kulingana na utamu wa embe)
240 gram ya maziwa ya maji
5 vipande vya barafu (Ice cubes)
1 kijoko kikubwa vanilla ice cream


Unaweza tumia maembe yaliyogandishwa katika friji au maembe ya kwenye kopo.



Menya maembe kisha weka katika bakuli la kusagia



Weka maziwa ya maji na cardamom powder. Washa blenda yako kwa kasi ndogo ili kusaidia isage pole pole ukipata mapovu toa kwa kijiko.






KIsha weka barafu na endelea kusaga ipondeke kabisa na barafu.Kisha ongeza sukari na jitaidi kulamba uweze pata ladha unayotaka.



Kisha mimina katika kikombe juu yake unaweza weka ice cream







Huu ni muonekano safi kabisa wa kinywaji hiki kinakua cha bariidi na ni tayari kunywa watengenezee familia wafurahie na pasaka hii.


 

Wednesday, April 13, 2011

KUANZISHWA KWA CHAMA CHA KITAALAMU CHA WAPISHI TANZANIA


TAARIFA NJEMA KWA WAPISHI WOTE WA KITANZANIA.

Active chefs Association of Tanzania (acat 2011)

BAADA YA MAFANIKIO MAKUBWA YA BLOG YA ACTIVECHEF SASA NIMEAMUA KUANZISHA CHAMA CHA KITAALAMU CHA WAPISHI TANZANIA. CHAMA HIKI NI CHAMA KISICHO CHA KIBIASHARA.

NATOA WITO KWA NDUGU ZANGU WATANZANIA WAPISHI WA HAPA NYUMBANI NA WALIOKO NJE YA NCHI TUUNGANE NA TUJENGE CHAMA CHENYE NGUVU TUWEZE TAMBULIKA KATIKA ULIMWENGU WA MAPISHI DUNIANI.

KWASASA TAYARI WAMESHAPATIKANA WANACHAMA KUMI WATANZANIA TOKA SAUDI ARABIA, AMERICA, SWISS NA UK. NAWAKARIBISHA WOTE MJIUNGE NI BURE HAKUNA ADA YEYOTE. FOMU ZA KUJIUNGA TUMA EMAIL issakesu@gmail.com KISHA NITAKUATUMIA HARAKA NAWE UNAJAZ ANA KUSCAN KISHA UNANITUMIA. KUANZIA MWEZI UJAO TUTAKUA NA WEBSITE YA CHAMA NA EMAIL YA CHAMA IPO KATIKA MATENGENEZO.

NAWAOMBA SANA NDUGU ZANGU WATANZANIA MUITIKIE WITO ILI TUWEZE KUFAIDI MATUNDA YA TAALUMA HII PIA TUWEZE ANDIKA HISTORIA DUNIANI.

MALENGO BAADA YA KUANZISHA CHAMA KWA MAFANIKIO YA MIAKA 2 KISHA TUTAJIUNGA NA CHAMA CHA WAPISHI DUNIANI ( wacs) World Association of Chefs Societies. KWA KUJIUNGA KATIKA CHAMA HIKI TUTAWEZA PATA WASAHA WA KUSHIRIKI MASHINDANO YA MAPISHI DUNIANI, KUSHIRIKI MAFUNZO NA MIKUTANO PAMOJA NA WAPISHI WALIOBOBEA DUNIANI NA MWISHO NI KUTAMBULIKA KOTE DUNIANI.

PIA TUNATEGEMEA KUJIUNGA NA CHAMA CHA World Master Chefs Society  HAPA WAPISHI WENYE NGAZI ZA EXECUTIVE WATAPANDA DARAJA NA KUA MASTER CHEF BAADA YA KUA WANACHAMA NA KUPATA MAFUNZO MAALUM.

VYAMA VYOTE HIVI VIKUBWA DUNIANI HUWEZI JIUNGA MPAKA UWE UMEJIUNGA KATIKA CHAMA NDANI YA NCHI YAKO HAWAKUBALI KUSAJILI MTU BINAFSI. KWASASA WANACHAMA WA VYAMA VYOTE HIVI NI NCHI 5 TU KWA AFRICA !! South Africa, Namibia, Egypt, Mauritius na Ghana. TUNAWEZA KABISA KUANDIKA HISTORIA YA MAFANIKIO IKIWA TUTAUNGANA NA KUA KITU KIMPOJA.

CHAMA CHETU KIKIWA THABITI TUTAWEZA KUTETEA HAKI YA MPISHI NA KURUDHISHA HADHI NA HESHIMA YA TAALUMA HII ADIMU NA ADHIMU DUNIANI.

UNAWEZA TEMBELEA SITE HIZI ZA VYAMA HIVI VIKUBWA DUNIANI www.worldmasterchefs.com/ NA  http://www.wacs2000.org/

MWEZI WA 5 KUANZIA TAR 1 NITAKUA DAR ES SALAAM KISHA NITAKWENDA ARUSHA NAIMANI UTAKUA WASAHA MAALUMU KUWEZA KUKUTANA NA WAPISHI WENZANGU TUKAZUNGUMZA KWA UNDANI ZAIDI NA NIKAWEZA JIBU MASWALI YENU KUMBUKENI HAKUNA MAFANIKIO BILA JUHUDI, MIPANGO NA MAARIFA. PIA UMOJA NI NGUVU.



Hii ni moja ya nembo zitakazotumia katika website




Hii ni nembo maalumu ya chama na itatumika katika sehemu zote za utambulisho ikiwemo website
 

Picha hii chef Issa akiwa katika mashindano ya Junior chefs katika kitongoji cha Luzern Switzerland na kuibuka mshindi wa kwanza.



Picha hii chef Issa akiwa katika mashindano ya Junior chefs katika kitongoji cha Luzern Switzerland na kuibuka mshindi wa kwanza.




Picha hii chef Issa akiwa katika mashindano ya Junior chefs katika utengenezaji wa chocolate ktk kitongoji cha Interlaken Switzerland na kuibuka mshindi wa tatu.
  

Picha hii chef Issa akiwa katika Tamasha kubwa duniani la sana zote ikiwemo ya upishi katika kitongoji cha Basel Switzerland.
 

Picha hii chef Issa akiwa katika kongamano la Junior chefs Munich German.

KILA MTU ANAWEZA AKIPEWA NAFASI NA WASAHA. SASA NI ZAMU YA WAPISHI WA KITANZANIA KUFAHAMIKA DUNIANI NA KUJIWEKEA HESHIMA NA MAISHA BORA.

KARIBUNI SANA SANA FOMU NI BURE.

CHEF ISSA

JIFUNZE KUTENGENEZA MSETO HUU WA AINA YAKE NI RAHISI NA NAFUU


LADHA YA CHAKULA HIKI NI SAFI SANA UKIONJA MARA MOJA UTATAKA KULA KILASIKU YAMY YAMY

MAHITAJI'

240 gram choroko nyeusi (black lentils or whole black Urad dal )

120 Maharage mekundu (Kidney beans)
1 kijiko kidogo cha chai cumin seeds
2 kijiko kidogo cha chai pili pili ya kijani, slice ndogo ndogo
1 kijiko kidogo cha chai tangawizi iliyosagwa
1 kijiko kidogo cha chai unga wa giligilani (coriander powder)
1 kijiko kidogo cha chai unga wa hiriki (cardamom powder)
1 kitunguu kikubwa
3 kijiko kikubwa cha chakula siagi (2 kijiko kikubwa cha vegetable oil)
3 mbegu za karafuu
2 vipande vya mdalasini (cinnamon stick)
1 Bay leaf
1/2 kijiko cha chai unga wa manjano (turmeric powder)
240 ya nyanya ya kusagwa ( tomato puree)
240 gram ya cream au maziwa kwa kuongeza ladha
5gram chumvi
Majani ya giligilani kwa kupambia


JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI

































KAA TAYARI KWA RECIPE