CONTACT:issakesu@gmail.com,
FACEBOOK.COM / active chef
Friday, February 24, 2012
JIFUNZE KUPIKA MAHARAGE KWA KUTUMIA VIUNGO ILI KUONGEZA LADHA
NI NAFUU SANA KWA GHARAMA NA NI RAHISI SANA KUPIKA NA FAMILIA IKAFURAHIA KWANI FAMILIA NYINGI SANA WANAPENDA KULA WALI MAHARAGE NA NDIZI MBIVU HAPA NI MAHALA PAKE
MAHITAJI
JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAFUNZO HAPO CHINI
kaka, hili harage baaab kubwa, hatua za mapishi ni fresh zinaeleweka, ila mahitaji kaka, hasa hivyo viugo, hebu tupe viungo, weekend hii nayatengeneza famili ijilame. God Bless you for great job ciaoo Matei
Mungu akubariki sana Kaka kwa kushare ujuzi wako na wenzio. Ni wachache sana wenye moyo kama wako. Mimi ni mara ya kwanza kuona hii blog, nimeipenda sana. The ONLY problem ambayo utstusaidia wengi ni kuweka maelezo kidogo kuwa umechanganya/kuweka kiunga gani na kiungo kipi kwani kwa picha tu ningumu kidogo kuelewa. Mungu akuzidishe na kukupandisha vileleni!
Kaka ISSA Kwa Mara Nyngne Umegusa Mahala Panapotakiwa Shukran Sana Kaka.. Kwa Mapnduz Ya Chakula Chenye Radha Yenye Kuongeza Hamasa Ya Kula Ila Ume2saidia Kias Ni Tofaut Ya Uwaslishaj Wa Dhima Yako Endapo Unge2pa Angalau Mahtaj Ya Mapsh Ye2[viungo] 2nakukumbusha 2 Mkubwa NATANGULZA SHUKRAN YA DHAT!
kaka, hili harage baaab kubwa,
ReplyDeletehatua za mapishi ni fresh zinaeleweka, ila mahitaji kaka, hasa hivyo viugo, hebu tupe viungo, weekend hii nayatengeneza famili ijilame.
God Bless you for great job
ciaoo
Matei
Mungu akubariki sana Kaka kwa kushare ujuzi wako na wenzio. Ni wachache sana wenye moyo kama wako. Mimi ni mara ya kwanza kuona hii blog, nimeipenda sana. The ONLY problem ambayo utstusaidia wengi ni kuweka maelezo kidogo kuwa umechanganya/kuweka kiunga gani na kiungo kipi kwani kwa picha tu ningumu kidogo kuelewa. Mungu akuzidishe na kukupandisha vileleni!
ReplyDeletemapishi mazuri lakini twaomba utupe mahitaji ni yapi nikimaanisha viungo vipi tuweke i need it urgently if you could give it soon i will apreciate
ReplyDeleteThank you Chef
Kaka ISSA Kwa Mara Nyngne Umegusa Mahala Panapotakiwa
ReplyDeleteShukran Sana Kaka.. Kwa Mapnduz Ya Chakula Chenye Radha Yenye Kuongeza Hamasa Ya Kula
Ila Ume2saidia Kias
Ni Tofaut Ya Uwaslishaj Wa Dhima Yako Endapo Unge2pa Angalau Mahtaj Ya Mapsh Ye2[viungo]
2nakukumbusha 2 Mkubwa
NATANGULZA SHUKRAN YA DHAT!
mboga niipendayo sana na mabyao siichoki ni maharagwe'barikiwa sana kaka adi nakutamani hahahaaa
ReplyDeletenapenda mboga ya maharage lakini naomba utoe na mahitaji kwasababu ningependa kujaribu kuipika
ReplyDelete