MAHARAGE NI CHAKULA KINACHOPENDWA SANA NA WATU WENGI LAKINI WAPO WACHACHE WANASHINDWA KULA SABABU YA KUPATA KIUNGULIA BAADA YA KULA MAHARAGE HIVYO WANALAZIMIKA KUTOKULA NA KUKOSA LADHA SAFI YA CHAKULA HIKI.
HII NI RECIPE SAFI KABISA INAYOFANYA KILA MMOJA WETU AWEZE KULA NA KUFURAHIA CHAKULA HIKI RAHISI KWA UPATIKANAJI POPOTE DUNIANI NA NI RAHISI KUANDAA
MAHITAJI
JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAFUNZO HAPO CHINI
IJALI FAMILAI YAKO KWA CHAKULA BORA NA SALAMA KWA AFYA YAO.
Hello Chef!!
ReplyDeleteHongera kwa libeneke! ... Ila kwa nini hauandiki maelezo?! Nadhani ilikuwa more understandable that way!
Please Write!! ... Please, Pleeease!
Kaka pole na kazi,
ReplyDeleteKwa kweli vyakula vyako ni vizuri kwa picha na hata kwa kula pia.
Swali> mbona huweki maelezo jinsi ya kupika? na wewe umetuambia
"MAHITAJI"
TUFUATILIE PICHA HAPO CHINI NA MAFUNZO.
aafu sio chakula hiki tu ni vingi ambavyo huweki maelezo.
Mdau mwanza
Its my 1st time to view this blog,n i thnk is the best..nimeipenda sana.i thnk ntakuwa mdau mzuri.bt maelezo ni muhimu kwa uelewa mzuri.
ReplyDelete