WAPENZI WOTE WA BLOG HII YA CHAKULA BORA NA SALAMA NAWATAKIA KHERI YA MWAKA MPYA 2013
MWAKA 2012 UMEKUA NI WAMAFANIKIO SANA, MWENYEZI MUNGU AMENIJAALIA MWANZO WA MWAKA KUANZISHA RESTAURANT NYUMBANI TANZANIA KWA MAFANIKIO MAKUBWA KABISA PIA MWISHO WA MWAKA MWENYEZI MUNGU AMENIJAALIA NIMEPATA MTOTO MZURI SANA WA KIKE AMEEN
HAIKUA KAZI NDOGO KUANZISHA RESTAURANT NA KUHAKIKISHA WALAJI WOTE WAWE KATIKA MIKONO SALAMA NA WAFURAHIE CHAKULA.
KWASASA NIPO MAPUMZIKONI NITAJITAIDI SANA NIWEZE KUWEKA RECIPE ZOOTE KATIKA PICHA PIA NIWEKE RECIPE MPYA MUWEZE FURAHIA MWAKA MPYA.
NAIMANI TUTAUANZA MWAKA 2013 KWA FURAHA, AFYA NJEMA NA MAFANIKIO
HUKU NI BARIDI SANA
NAWATAKIA SIKU NA KAZI NJEMA
CHEF ISSA
kaka ulifungua blog kisha ukaitangaza nasi tukakuunga mkono na kuwa mashabiki wa hali na mali wa blog hii muadhama. lakini ghafla tu ukaacha kupost kwa muda mrefu kila tukiingia page ipo vilevile mpaka tukachoka tukaona ni walewale . sasa umerudi tena kwa ahadi lukuki ya kurudi kama zamani. binafsi nina wasiwasi sasa na ahadi zako, tafadhali thibitisha ahadi yako na kama ukishindwa ku update ni bora ufunge tu hii blog nasi wapenzi wake tuiondoe akilini mwetu . kun muda fulani blog hii ilikuwa chachu ya furaha na upendo katika familia zetu .
ReplyDeletewakatabahu
wellcome back chef, tunavisubiri kwa hamu new mapochopocho
ReplyDelete