pole na kazi kaka, mi ni mdau wa blog hii sana naomba japo unaweka video ila naomba uweke na maelekezo kwa kuandika pia kama ilivyokuwa zamani kwa sababu sio wote tulio na computer na internet nzuri zenye uwezo wa ku-play video.
salam alyekum. aksante sana kwa kushea na sisi yani kila kitu kinaeleweka vizuri, kesho nami nakula ivyo.. inshAllah! mungu akubariki kwa kutupa ulichajaliwa. i appriciate bro. mdau wako A,Maganga
thanks chef, ila kama alivosema mdau wa kwanza, wengine video kidogo inakua mtihani, so please, weka na yale maelezo yetu ya zamani ili kwa wanasie tuweze kupata fursa. ubarikiwe sana kaka issa.
Shukrani sana kwa upishi huu. Nimepika mboga na nyama kufatisha mafunzo yako kilikuwa kitamu sana. Mtoto wangu alisema yummy sijui mara ngapi. Nimepiga picha ntakutumia ila mimi nilitumia cabbage badala ya spinach I can confirm the result was grt.
pole na kazi kaka, mi ni mdau wa blog hii sana naomba japo unaweka video ila naomba uweke na maelekezo kwa kuandika pia kama ilivyokuwa zamani kwa sababu sio wote tulio na computer na internet nzuri zenye uwezo wa ku-play video.
ReplyDeleteahsante sana.nitajaribu upishi,na nitatoelea na ugali.vidoe inasaidia sana maana unaona step by step thanks bro
ReplyDeleteunafaa sana chef wetu wa ukweli,umefanya tufurahie chakula kitamu na familia kwa kupika kama maelezo yako
ReplyDeletebarikiwa mno
mdau Aza
video ni kitu kizuri sana na ninaelewa mno kwa vitendo hasa vitu vya kuchanganya na upikaji wake halisi,i think uendelee tu na video kuliko maneno
ReplyDeletenimekupenda bure chef
salam alyekum. aksante sana kwa kushea na sisi yani kila kitu kinaeleweka vizuri, kesho nami nakula ivyo.. inshAllah! mungu akubariki kwa kutupa ulichajaliwa. i appriciate bro. mdau wako
ReplyDeleteA,Maganga
thanks chef, ila kama alivosema mdau wa kwanza, wengine video kidogo inakua mtihani, so please, weka na yale maelezo yetu ya zamani ili kwa wanasie tuweze kupata fursa. ubarikiwe sana kaka issa.
ReplyDeleteIssa video tumeiona na kwa kweli nimefurahia sana jinsi unavyoelekeza mapishi yako keep it up
ReplyDeletevideo ni nzuri sababu unaona step by step,i like your blog
ReplyDeleteShukrani sana kwa upishi huu. Nimepika mboga na nyama kufatisha mafunzo yako kilikuwa kitamu sana. Mtoto wangu alisema yummy sijui mara ngapi. Nimepiga picha ntakutumia ila mimi nilitumia cabbage badala ya spinach I can confirm the result was grt.
ReplyDelete