JIFUNZE KUPIKA PASTA SAFI KABISA NA NAFUU KWA MUDA MCHACHE IKIWA IMECHANGANYWA PAMOJA NA NYAMA YA MBUZI LAKINI KWA MAPISHI HAYA HAYA WEWE UNAWEZA KUPIKA NA NYAMA YA KUKU AU NYAMA NG"OMBE
MAHITAJI
JINSI YA KUPIKA FATILIA VIDEO NA MAELEZO HAPO CHINI
HII NI VIDEO YA SEHEMU YA KWANZA
HII NI VIDEO YA SEHEMU YA PILI
HII NI VIDEO YA SEHEMU YA TATU NA YA MWISHO
HII NI VIDEO YA SEHEMU YA PILI
HII NI VIDEO YA SEHEMU YA TATU NA YA MWISHO
nakuja na hili pishi asee
ReplyDeletesafi sana
aseee me pasta na cheese huwa sipendi,ila kwa mapishi haya ngoja nikapike nione radha yake,napenda mno nyama ya mbuzi
ReplyDeleteasante kwa upishi unaoeleweka wa video chef
swali:moto wa oven ni kiasi gani na dk ngapi kwa ichi chakula?
ReplyDeletethax
hallo chef,
ReplyDeletehongera sana kwa kazi nzuri.
Maoni kuhusu video
-nadhani kama kila kitu kitakua kimetayarishwa , then ukiwa wapika unakua kwenye best position ambayo itatupa watazamaji view nzuri itakua vizuri zaidi.Kwa sababu sehemu unayopikia kwa sasa ni ndogo na inashindwa kuruhus movements na at the same time picha itokee vizuri.
-labda pia pale unapopika mfano kitunguu mpaka kiwe brown,waweza tuonyesha unavyoweka kitunguu motoni,then ukatuonyehs pale kinapokua tayari cha brown.
otherwise nakutakiwa kila mafanikiao kwa kweli,kama kueleweka waeleka bila wasi,unaelekeza vizuri tu.
be blessed,
Hi chef Issa pls tuambie moto kiasi gani na Kwako muda gani.
ReplyDeleteNasubiri Kwa Hamu jibu ili nilipike pishi hilo.
nitajaribu huu upishi tukijaaliwa. Oven moto plz kiasi gani na approx ya muda
ReplyDeleteSal,Best chef pls naomba unambie nitapata wapi iyo chumvi ya mbogamboga,in europe au nyumbani supamaket gani ili niweze agiza. thanks Bro
ReplyDeleteA.maganga
nimefurahi sana kujua namna ya kuweka cheese.
ReplyDeleteDada wa Moshi