ACTIVE CHEF BLOG LEO INATIMIZA MIAKA 3 KAMILI NA MIEZI SITA YA ACTIVE CHEF RESTAURANT HAPO CHINI NI MAELEZO YA MATUKIO MUHIMU MWAKA 2012
HAWA NDIO KIKOSI CHA KAZI ACTIVE CHEF MTWARA
HUU NDIO MUONEKANO WA RESTAURANT
PIA TULIFANIKIWA KUFANYA HARUSI ZA WATU MBALI MBALI
MAHARUSI WAKIFAIDIKA NA MSOSI
TULIPATA BAHATI YA KUTEMBELEWA NA CHEF TAJI LIUNDI
HAWA NI WATEJA WETU WA KUDUMU NI MARUBANI WA HELKOPTA
NILITEMBELEWA NA CHEF RUKIA, CHEF GRACE NA CHEF ASIA TOKA VODACOM TZ
SAFARI YA KUONDOKA MTWARA KUELEKEA DAR ILIANZA
MVUA ZILIKUA KUBWA SANA NA MAGARI YALIKUA YANAZAMA
NAKAGUA GARI KAMA IPO SAWA TUENDELEE NA SAFARI MAJI YALIJAA SANA BARABARA HAIONEKANI TUNABAHATISHA TU
TULIFIKA SALAMA DARAJA LA MKAPA HAPA NI LAMI MPAKA DAR
NILIPATA NAFASI YA KWENDA ZANZIBAR KWA DADA YANGU SIKU 2
MWEZI WA 12 MWAKA 2012 KATI KATI NILIKWEA PIPA NA KURUDI ULAYA KUENDELEA NA KAZI
No comments:
Post a Comment
Tunaheshimu sana maoni yako