SIKU ZA KAZI KUANZIA 19GMT MPAKA 23GMT NA WEEKEND 18GMT MPAKA 23GMT UNAWEZA NIPATA KWA skype - issakesu UNAWEZA PIGA SIMU BURE KATIKA INTERNET TUKAONGEA AU UKATUMA MESEJI NA NIKAKUJIBU KUHUSU MASWALA YA CHAKULA NA MAPISHI NAKARIBISHA MASWALI CHEERS
KWANJIA HII ITAKUA RAHISI SANA MIMI KUWEZA KUJIBU MASWALI YENU PAPO KWA PAPO
MAELEZO KATIKA KILA VIDEO YA MAPISHI NITAWEKA ILI KILA MMOJA WENU AWEZE KUELEWA KWA UFASAHA ZAIDI KAMA ILIVYOKUA ZAMANI
No comments:
Post a Comment
Tunaheshimu sana maoni yako