HABARI
NJEMA WAPENZI WA BLOG www.activechef.blogspot.com
MAMA YANGU MZAZI NI MTAALAMU WA CHAKULA NA LISHE NAMI NI MTAALAMU WA KUPIKA
CHAKULA BORA NA SALAMA.
TUNASHIRIKIANA KUANDAA KITABU KITAKACHOKUA NA RATIBA YA
WIKI NZIMA YA CHAKULA CHA WATOTO WA UMRI TOFAUTI, MAELEZO JINSI YA KUKIANDAA
CHAKULA NA MAELEZO YA FAIDA YA CHAKULA HICHO KATIKA MWILI WA MTOTO KWA LUGHA YA
KISWAHILI FASAHA NA VYAKULA VINAVYOPATIKANA POPOTE KWA URAHISI.
KITABU KITAKAPOKUA
KIMECHAPISHWA TAYARI NITAWAFAHAMISHA WAPI VINAUZA NA KIASI GANI BADO TUPO
KATIKA MAANDALIZI KWA HABARI ZAIDI USIACHE KUJIUNGA KATIKA UKURASA WETU WA FACEBOOK KWA
HABARI ZAIDI NI facebook.com Active Chef
Assalam aleykum anko Issa,yaani utakuwa umetusaidia sana kaka mambo ya ratiba za majumbani mwetu,mwenyezi mungu akusaidie uweze kufannikisha inshaal,nakisubiri kwa hamu sana.
ReplyDeleteMRS.SHAMIM kHALIFA