BAADA YA MAOMBI YA WANAFAMILIA WENGI WA KITANZANIA SASA NIMEAMUA KUFANYIA KAZI PIA RATIBA YA CHAKULA YA WIKI NZIMA KWA FAMILIA KUANZIA CHAI ASUBUHI, CHAKULA CHA MCHANA NA CHAKULA CHA JIONI.
KITABU KITAZINGATIA SANA MBINU ZA MAPISHI BORA KWA GAHARAMA NA FUU NA LADHA SAFI KWA CHAKUAL KITAKACHOKUA NA FAIDA NA MWILI WAKO.
PIA NITATENGENEZA NA DVD ITAKAYOKUA INAELEKEZA MAFUNZO YOTE YALIYOKUWEPO KWENYE KITABU HIKI. KITAKAPOKUA TAYARI NITAWAFAHAMISHA KUPITI UKURASA WA FACEBOOK.COM Active Chef NA www.activechef.blogspot.com
TUOMBEANE UZIMA, AFYA NA MAISHA MAREFU AMIIN ILI KILA ZURI NILILOJAALIWA TUWEZE KUGAWANA KWA NJIA MOJA AU NYINGINE AMIIN
ReplyDeleteWoow nakisubiri sana hicho kitabu, kitanirahisishia sana kazi ya kufikiri kila siku tunakula nini.
Jambo jema.nakisubir kwa hamu
ReplyDeletemungu ni mwema nitakisaka niweze kukipata hiki kitabu.
ReplyDeleteHi Chef, kitabu hiki ni tayari?
ReplyDelete